cris emanuel
Member
- Oct 23, 2018
- 16
- 10
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nundu ipo?!!Mwenzenu nimeumizwa Mara kibao Sana,mpaka naona wanaume wote ni Hali moja,Nina mwaka wa2 Sasa sijadet na mwanaume naogopa,nafikiria ndoa tu kwa Sasa so kuchezeana,me ni binti mxuri Sana najiamini na miaka22 natafuta mwanaume ambay yupo serious na maisha anayejua kutafuta, anayejua dhamani ya mwanamke
Kwani bado tuu?Jamani