Nimepata rafiki na sitaki kumpoteza

Urafiki hua unakua....kutoka hatua 1 kwenda nyingine. Huo wa kawaida unaweza badilika pia finaly mnajigi jigi
Sio rahisi kiasi hicho cute bee, yaani ni ngumu sana kwa mwanaume ku-maintain pure friendship.
Hahahahaha . itakuwa kweli.
Sasa kwa nn nyie wanaume mnafeli kumentain urafiki?
 
Hahahahaha . itakuwa kweli.
Sasa kwa nn nyie wanaume mnafeli kumentain urafiki?
Ni ngumu tu, binafsi ni heri nikampotezea mdada kuliko kuwa marafiki wakati najua kabisa nitaharibu. Just imagine upo na hubby wako then una-entertain urafiki na strangers, lazima uharibu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…