Nimepata rafiki na sitaki kumpoteza

Nimepata rafiki na sitaki kumpoteza

Mh!
Siamini katika hilo
Hujakutana na watu real mkuu,hawa fake maisha,wenye malengo

Ila kwenye msafala wa mamba na kenge wamo huenda usemalo Lina ukweli 25%.ila ni kwa baadhi si wote
I agree! Ila nadhani wanaofake ndio 75% na hao real ni 25%
 
usitishike bro kuna wengine wako real..
I think so there are some who are real. Halafu unajua hawa viumbe wakiwa na njaa pia inachangia, lakini ukipata rafiki good family and first class like this one inakuwa matatizo yanapungua
 
I think so there are some who are real. Halafu unajua hawa viumbe wakiwa na njaa pia inachangia, lakini ukipata rafiki good family and first class like this one inakuwa matatizo yanapungua
how did u know she's first class family..?
don't ever keep ur hopes that high.. get to know her in person ndo uwe sure... there are very good pretenders out there
 
how did u know she's first class family..?
don't ever keep ur hopes that high.. get to know her in person ndo uwe sure... there are very good pretenders out there
You seem wise, anyway! I just feel that I have someone I can talk to and ask for ideas. Time will tell but the impression is positive.
 
Vp ile safari ya Egypt utaenda nae?
Yaani kama urafiki unakuwa hivi naanzaje sasa kumuacha?? Hata kama group members wasipofanikiwa me namlipia mbona. Wait a second, she seems well financially
 
Back
Top Bottom