Nimepata rafiki na sitaki kumpoteza

Nimepata rafiki na sitaki kumpoteza

Ila una mbwembwe[emoji1][emoji1][emoji1]...kweli nyie ni different class mmekutana. Marafiki mnaanza peana ela? Ila umpe tu hamna namna.
Anaanzaje na tayari najipanga nianze kumpa. Wewe unadhani kwanza ni hawa omba omba?? She is first class mkuu hebu elewa
 
Awwww...you better be! Yaani I can imagine how you're feeling! This girl is lucky to have you...
Kabisaaaaaaa! Am happy and I hope she is, she is lucky to have me and I am lucky to have her too
 
Back
Top Bottom