Nimepata sehemu ya kujitolea, naombeni ushauri

cold water

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2021
Posts
238
Reaction score
954
Naombeni ushauri, nina mwaka sasa tangu nimalize chuo, sina kazi, sijapata hata mtaji tu wa kuanzisha biashara. Nimepata sehemu ya kujitolea lakini ni mbali na ninapoishi lazima upande gari kwenda na kurudi na ukifika stand kuelekea kazini unapanda boda tena, sijala na nimeambiwa No malipo.

Barua ya kujitolea niandike kama naomba field kwenye hiyo taasisi, kukaa home nimechoka!!! Naombeni ushauri.......
 
Naombeni ushauri,Nina mwaka sasa tangu nimalize chuo,sina kazi ,sijapata ata mtaji tu wa kuanzisha biashara,Nimepata sehemu ya kujitolea lakini Ni mbali na ninapoishi lazima upande gari kwenda na kurudi,na ukifika stand kuelekea kazini unapanda boda tena,sijala,na nimeambiwa No malipo. Barua ya kujitolea niandike kama naomba field kwenye iyo ofisi, kukaa home nimechoka!!! Naombeni ushauri.......
Muwe mnaeleza basi na jinsia zenu wakati mnapo omba misaada, ikiwemo hii ya kimawazo. Mtu anaweza kutoa ushauri, akidhani wewe ni jinsia ya ke, kumbe ni me! Halafu ushauri ukaleta mtafaruku.
 
Naombeni ushauri,Nina mwaka sasa tangu nimalize chuo,sina kazi ,sijapata ata mtaji tu wa kuanzisha biashara,Nimepata sehemu ya kujitolea lakini Ni mbali na ninapoishi lazima upande gari kwenda na kurudi,na ukifika stand kuelekea kazini unapanda boda tena,sijala,na nimeambiwa No malipo. Barua ya kujitolea niandike kama naomba field kwenye iyo ofisi, kukaa home nimechoka!!! Naombeni ushauri.......
Mwanzo mzuri saana ila makampuni na taasisi siku hizi.. usishangae kuona wanakutumia tuu na hawakupi chochote.. cha muhimu effort unayotakiwa kuiweka hapo ni kujipendekeza sanaa kwa watu yaan kazi yako iwe kusifia sana watu. Ukitumwa unaenda.. kuwa front kwenye chochote.. jitolee kwelkwel hata usafi sometime.

Ingekua ngozi nyeupe basi watathamin mchango wako. Kama ni ngozi nyeusi sahau hilo labda itokee muujiza.

Ila ni hatua nzuri kuliko kukaa bure home.. ila fahamu outcome kama nilivyokueleza.. sababu za ukosefu wa ajira basi mabosi na ofisi nyingi hutumia mwanya huo kunyanyasa na kutothamini mchango wa wanaojitolea makazini.
 
Mwanzo mzur saana ila makampun na taasis sikuhiz.. usishangae kuona wanakutumia tuu na hawakupi chochote.. cha muhimu effort unayotakiwa kuiweka hapo ni kujipendekeza snaa kwa watu yaan kaz yako iwe kusifia sana watu. Ukitumwa unaenda....
Kimsingi ajigeuze chawa wa kujitegemea 😂😂😂 ila maisha ya bongo ya kisenge sana laiti nikiwa mwaka 1998 ningejua miaka 20 mbele utatokea upuuzi ulioko sasahivi pengine ningekuwa mbali sana toka hapa nilipo leo.
 
Kimsingi ajigeuze chawa wa kujitegemea [emoji23][emoji23][emoji23] ila maisha ya bongo ya kisenge sana laiti nikiwa mwaka 1998 ningejua miaka 20 mbele utatokea upuuzi ulioko sasahivi pengine ningekuwa mbali sana toka hapa nilipo leo.

Siku hizi ukitaka kupendwa maofisini uwe chawa wa maboss uki act proffessional wanakuundia beef na mizengwe yaani ni full bull shit
 
Naombeni ushauri,Nina mwaka sasa tangu nimalize chuo,sina kazi ,sijapata ata mtaji tu wa kuanzisha biashara,Nimepata sehemu ya kujitolea lakini Ni mbali na ninapoishi lazima upande gari kwenda na kurudi,na ukifika stand kuelekea kazini unapanda boda tena,sijala,na nimeambiwa No malipo. Barua ya kujitolea niandike kama naomba field kwenye iyo ofisi, kukaa home nimechoka!!! Naombeni ushauri.......
Nenda kafanye kazi hiyo hata kama ni kwa muda mfupi tu miezi 2-3, utakuwa umeongeza kitu kwenye CV yako na pia utapata connections. Waajiri wengi wanapenda mtu mwenye uzoefu wa kazi kuliko wale fresh from school.
 
Waajiri wengi wanapenda mtu mwenye connection kuliko udhoefu wa kazi.
 
Kimsingi ajigeuze chawa wa kujitegemea 😂😂😂 ila maisha ya bongo ya kisenge sana laiti nikiwa mwaka 1998 ningejua miaka 20 mbele utatokea upuuzi ulioko sasahivi pengine ningekuwa mbali sana toka hapa nilipo leo.
Nini kili kukuta kaka angu.
 
Siku hizi ukitaka kupendwa maofisini uwe chawa wa maboss uki act proffessional wanakuundia beef na mizengwe yaani ni full bull shit
Hapa ndio unapoona ujinga wa waafrika. Wadhungu bwana pamoja na ubaguzi wao, lakini likija suala la utendaji kazi kama wewe ni mpiga kazi hawanaga longo longo na hela yako watakupa.

Wabongo bwana, loh!
 
Back
Top Bottom