Nimepata sehemu ya kujitolea, naombeni ushauri

Nimepata sehemu ya kujitolea, naombeni ushauri

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sasa ndio unakumbua ile debate ya "is education better than money?" [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sasa itabidi iwe is connection better than education ?
Umenikumbusha hii debate....nilikuwa napaza lisauti kabisa tukiulizwa hili swali " education is better than money" mammaae njoo kitaa sasa ujionee uhalisia wa dunia
 
Wengine shule zinawatoa/ wanabutua niamini mimi...basi hii dunia haiko fair
Shule unatoboa kweli sio uongo ila sio shule jina iwe shule kweli. Kuna vyeti ukiweka mezani watu wanasema yes...huyu nshomile...he went to skul.

Ila hivi vyeti vyetu vya udsm na mzumbe ukienda kimataifa ukiweka watu hawatingishiki sahau...utakuwa wa hapa hapa na connection.
 
Umenikumbusha hii debate....nilikuwa napaza lisauti kabisa tukiulizwa hili swali " education is better than money" mammaae njoo kitaa sasa ujionee uhalisia wa dunia
🤣🤣🤣🤣 Tumeumizwa kweli kweli na hi debate. Kwa kweli walimu wetu walikuwa myopic
 
Dah nakubali hilo ila kwa hali ilivyo miaka hii inavunja sana moyo, waliofanikiwa kuingia kwenye chain ya pesa kupitia shule hawawezi amini.
Ila watu wanalogaa makazini we acha tuu

Inabidi kuwaandaa watoto wetu kisaikoloji, aanze biashara hata ya kuuza pipi at a very primary young age ili aondokane na aibu za raia

Msomi hataki kuuza maji au mitumba kisa watu watamwona eti ( wasomi wenzie) wote wanabanana maofisini kwenye ac aiseee hata kama ni kwa volunteering kwa miaka be [emoji848][emoji848]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tumeumizwa kweli kweli na hi debate. Kwa kweli walimu wetu walikuwa myopic
Walimu wenyewe njaa kali...wanauza kashata na bagia mia mia afu wanakupigia kelele " education is better than money

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2957][emoji2957]
 
Vijana nendeni veta au vyuo vya kiufundi wallah nakwambia unaweza usipate ajira ya kudumu Ila hautakaa ukose pesa ya Kula utakosa Leo Ila Kwa wiki utapata
Hii ndo comment bora kuliko zote...wazazi wapeleke watoto wao vyuo vya ufundi ili wsife na njaa, mtoto atajiendeleza mwenyewe huko mbele ya safari kama akitaka madegree
 
Ila watu wanalogaa makazini we acha tu..

tatizo ya hii thinking mie nayo ona ni kwamba tutaendelea kuwa tegemezi tuu kama taifa na kukopa kila leo.
u need scientists, engineers ndio taifa linakuwa lakini tukiwa na hizi mentality za mtu wa masters auze kande au kuendesha bajaj na kufurhia hatutakuwa donor country ata siku moja.

sasa wewe ebu fikiria kwanza, sie tunasema nchi yetu inategemea kilimo but hatuna ata agricultural equipment amabzo tunatengeneza sie wenye. yaani sie ata copy and paste tumeshindwa jamani?
 
Walimu wenyewe njaa kali...wanauza kashata na bagia mia mia afu wanakupigia kelele " education is better than money

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2957][emoji2957]
bwana wewe alafu wanataka vijana waheshimu elimu. kwa kweli sie waafrika tuna akili ndogo sana tena san tuu. bila kuwekeza kwenye science and technology hatuwezi fika mbali.
 
Muwe mnaeleza basi na jinsia zenu wakati mnapo omba misaada, ikiwemo hii ya kimawazo. Mtu anaweza kutoa ushauri, akidhani wewe ni jinsia ya ke, kumbe ni me! Halafu ushauri ukaleta mtafaruku.
Mkuu ulitaka kumshauri nini nje ya mambo ya kazi?Au ulitaka kumwambia akianza kazi avizie na vimchepuko vya kugharamia nauli?Nauliza tu ndugu yangu
 
Walimu wenyewe njaa kali...wanauza kashata na bagia mia mia afu wanakupigia kelele " education is better than money

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2957][emoji2957]
"education is better than money" . Mwalimu huyo. Halafu " haya haya hizi kashata ziishe deli Zima [emoji1][emoji23][emoji23]
 
Mwanzo mzuri saana ila makampuni na taasisi siku hizi.. usishangae kuona wanakutumia tuu na hawakupi chochote.. cha muhimu effort unayotakiwa kuiweka hapo ni kujipendekeza sanaa kwa watu yaan kazi yako iwe kusifia sana watu. Ukitumwa unaenda.. kuwa front kwenye chochote.. jitolee kwelkwel hata usafi sometime.

Ingekua ngozi nyeupe basi watathamin mchango wako. Kama ni ngozi nyeusi sahau hilo labda itokee muujiza.

Ila ni hatua nzuri kuliko kukaa bure home.. ila fahamu outcome kama nilivyokueleza.. sababu za ukosefu wa ajira basi mabosi na ofisi nyingi hutumia mwanya huo kunyanyasa na kutothamini mchango wa wanaojitolea makazini.
Kuna jamaa yangu alijitolea kwenye kampuni miaka kibao wanakuja watu anawafundisha kazi baada muda wanaajiliwa yy Bado anapewa nauli kaona Bora aache
 
Back
Top Bottom