THE BEEKEEPER
JF-Expert Member
- Feb 23, 2024
- 1,462
- 7,157
JUZI kati Niko site mwenge nafanya wiring juu ya ghorofa kwa mbali nikaona gari zuri mnooo bmw x7 imepaki akashuka mdada mzuri sana akaingiaaa duka moja Punde akatokea muokota makopo from no where AKAWA na fuko lake hapo njee yule dada AKATOKA njeee na kitololi Cha supermarket kimejaaa mazaga mazaga akaanza kumliliaaa yule muokota makopo mie Niko juu chap NIKAANZA kushuka mpk chini NIKATOKA nduki mpk Kwa huyo dada nikamsukuma yule mchizi nikijua labda ni mwizi
GHAFLA NIKASKIA sauti cut cut kumbe walikuwa WANAFANYA content za maigizooo GHAFLA wakaanza kuniletea noumaaaa NIKASEMA hamnijui mimi chizi yaan mmenifanya niache kazi yang kisa upuuzi wenu haiwezekan hii scene lazima nitolee na mimi basi bhana wakanipa shavuuu