Samico Tanzania
JF-Expert Member
- Feb 6, 2022
- 486
- 1,237
- Thread starter
- #21
Acha masiharaNdugu hao vijana wako wamelishwa limbwata huko sumbawanga!
Huko ukipa mwanamke elf 5 anaenda kwa bibi yake ...wakifanya yao huchomoki wanamsemo wao!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha masiharaNdugu hao vijana wako wamelishwa limbwata huko sumbawanga!
Huko ukipa mwanamke elf 5 anaenda kwa bibi yake ...wakifanya yao huchomoki wanamsemo wao!
😅😅😅Siku ukienda Tanga wewe ndio utabaki huko
Mkuu karibu sana hapa MRIJO CHINI kutoka hapa hadi kondoa mjini nauli ni 5,000/=Unaweza kutindua? Tuko kondoa kwa sasa
Unaweza kutindua? Tuko kondoa kw
Inawezekana bosi,inshu ni maslahi tu ili kuweza kusurviveUnaweza kutindua? Tuko kondoa kwa sasa
Nauli ya elfu 5 naambiwa ni mwendo wa saa mbili kweli?Mkuu karibu sana hapa MRIJO CHINI kutoka hapa hadi kondoa mjini nauli ni 5,000/=
Safari hii hao wasaidizi wako wa kike watakuacha wewe,wao watarud dar peke yaoHeshima kwenu!
Kila mkoa una neema na changamoto yake. Nilifanikiwa kuwa moja ya mafundi katika ujenzi wa stend mpya Sumbawanga.
Kazi ilikwenda vizuri lakini vijana wangu wa kiume wasaidizi ndiyo basi tena walibakia huko baada ya kazi hawajarudi hadi leo na hawataki kabisa kusikia habari za kurudi.
Nimepambana sana kuwarudisha lakini wapi, wananijibu wamependa kuanzisha familia Sumbawanga.
Niliyebahatika kurudi dar ni mimi peke yangu. Hii ni kutokana na kwamba nilijipikia ugali wangu mwenyewe!
Mafundi wangu wengine wote waliojaribu kupikiwa vyakula na wenyeji wanasema hakika ni vitamu sana hata wamejikuta wamepapenda kuishi huko.
Baada ya kurudi Dar
Saiti hii ndiyo iliyonifanya nibadilishe wasaidizi wangu! Hasa ninapokwenda saiti za mikoani sahivi jeshi langu la kazi ni wasaidizi wanawake na matokeo nimeyaona! Tukienda wote tunarudi wote.
Sasa hivi nimepata kazi nyingine Kondoa HAUBI na ILANGI. Nina imani huku ni salama kama kuna changamoto naomba wenyeji mnijulishe kwa namba hii 0711756341 (fundi samico) ili nichukue tahadhali wapendwa.
yani wameru ndio wawadatisheWakifika Arusha hao hawarudi tena kwao?
Wewe huijui Arusha utachekwa bora ukae kimya.yani wameru ndio wawadatishe
watakua na mtindio wallah
Ooh sumbawanga wanawake wanataka wanawake tena, shehe nao wanachama kumbe??Wanawake wa sumbawanga wakimtaka mwanamke hatoki! Hao wamelishwa nyama iliyotiwa kwenye uchi hawatarud makwao
Kwani hao walibaki sumbawanga kwa sababu ya uzuri au fundi mitambo kawasetiWewe huijui Arusha utachekwa bora ukae kimya.
amna kitu apo zaidi ya meno kama wameng'ata kinyesiWewe huijui Arusha utachekwa bora ukae kimya.
huwenda lakini kwa arusha ulozi hakuna so swala la uzuri haliwezi wabakisha hao mafundiKwani hao walibaki sumbawanga kwa sababu ya uzuri au fundi mitambo kawaseti
Hahaah! Lakini naona full ushungi inaelekea dini imewakaa hawatanitekaSafari hii hao wasaidizi wako wa kike watakuacha wewe,wao watarud dar peke yao
Ndio maana nikasema wewe huijui Arusha, halafu Moshi Arusha siyo wote meno yao yana effect za calcium.amna kitu apo zaidi ya meno kama wameng'ata kinyesi
Kondoa ina watu wa maana sana wameshika dini naona full ushungi tuhuwenda lakini kwa arusha ulozi hakuna so swala la uzuri haliwezi wabakisha hao mafundi
Wanakwenda lodge na maushungi yao tena mwezi wa Ramadhani.Kondoa ina watu wa maana sana wameshika dini naona full ushungi tu
mabinti wa hapo wanavuta sigara sana japo ni wazuriKondoa ina watu wa maana sana wameshika dini naona full ushungi tu
NakaziaAkienda huko Tanga, basi yeye ndio atawafuata aliowaacha Sumbawanga na kuwapeleka Tanga.
Hawajui warangi huyo mwache! Ukiwa huwajui unaweza ukadhania umepata mwarabu! Ukizubaa wanakufundisha na quuran lakini ..asili yao hawaachiWanakwenda lodge na maushungi yao tena mwezi wa Ramadhani.