Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhali

Uache kushinda kwenye mitandao na kufanya umbea. Ukipata nafasi ya kusoma soma kweli kweli! Kila jambo na wakati wake. Ila pole jiandae kwa kurudia mwaka kama hicho chuo kina utaratibu huo
 
Itakua jamaaa kashapigwaa BURN.
MBONA KAPIGA KIMYA.
 
HIVI WACHANGIAJI WOTE HATA HAMJIULIZI HIZO SUPU NI ZA SEMISTA IPI????????
SABABU MNAMO TAREHE 12/02/2017
Mtoa mada alitoa post humu jukwaani ikionyesha yuko maandalizi ya UE na mtoto mzuri.
Usije kuwa mtu anatafuta kiki hapa wakati watu mko siriazi kumshauri.
 
Ulifikiri chuo ni sehemu ya michezo,hapo mkuu umeisha Disco live sioni namna ya kutoka tena.Pole sana
 
huyoo jamaa muongoo anacheza na akili zenuu....hamna chuo ambacho wametoa matokeo ya first semester...
huyo yuko ARDH environmental eng..chuoni kwao ndo kwanza wako kwenye UE naw....!!
Sipo huko
 
Nama nashaka na Chuo unacho soma mkuu!!!!!
 
kubet ni tatizo kubwa kwa vijana wa mijini.....hapo kwasasa umedisco!Jiingize kwenye siasa ujaribu bahati yako!
 
Sijajua upo mwaka wa ngapi na chuo gani? Udsm ukifeli nusu ya masomo yote kwa semester unakuwa umedisco, haina mjadala. Sijui vyuo vingine. Hata hivyo kama serikali ya wanafunzi ni imara watakutetea uweze kusup
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…