MKANDAHARI
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 5,727
- 6,615
Vijana wengi mkishafika mjini huwa mnasahau kilichowaleta mjini.
Inabidi uwe serious na kinachokuweka mjini.
Nawaona wengi wao wakishafika vyuoni ni kuanza kushindana kwa mambo yasiyokuwa na umuhimu.
Unamkuta kijana kuanzia asubuhi hadi jioni kashikilia simu yupo instagramu anapost tu mipicha na kufuatilia Diamond kapost nini
Una bahati sana ingekuwa kuna ku-disco kwa semester, basi wewe wangekuvuna asubuhi na mapema.
Soma kijana, kisomo ndicho kinachokuweka hapo ulipo