Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhali

Mademu ndo wamekuponza mkuu jiandae kucheza disco
 
Na mimi piah nilikuwa ni mmoja wa watu kama wewe nilivyokuwa na soma pale chuo X mwaka wa kwanza tu nilipata supp 4 kati ya masomo 7, sikuwa na presha sanaaaa nilijua ni ni just emegency tu imetokea namshukuru mungu nikakomaa na nikachomoa masomo hayo yote ma 4 na piah kuna wadau walikuwa na supp 6 huko lakini walipita na mbaka leo wanafanyakazi katika office tofauti tofauti, UNAWEZA KIJANA TENGA MDA WAKO MZURI THEN WEKA UHUSIANO WAKO NA MUNGU VIZUR HAKIKA UTAFANIKIWA TU sio wewe wa kwanza.
 
Kwa vyuo vingi ninavyo fahamu tayari hapo umedisco ila bado hujafeli maisha.

Hiyo hiyo elimu yako uliyofikia ni mkombozi tosha wa maisha yako.

Primary goal ya education ni kumkomboa mtu kifikra wala sio lazima uwe na cheti ndio uamini ume elimika.
 
asante wadau kwa kuweka link za nyuzi za huyu bwana. sina la kumshauri zaidi ya kukaidi. huenda anatudanganya hata hili
 
Kaka nafikiri hujakutana na kozi dume. Baadhi ya vyuo kuna kozi si kwamba hazieleweki.. ila ni kozi tata... mnaanza 100 mwaka wa nne mko 25
Kwangu mimi labda niseme ndio naona hivo, sijui kwa wengine ila mara nyingi naonaga vyuoni watu wanashoia na kufata mkumbo ndio maana wanadisco na kupata masup ya ajabu

Kwanza kozi dume ni kama ipi?
 
mm nlisoma na watu walikua na sapu 10 ktk masomo 17 (semi1 plus 2) na baadhi yao walichomoaa wengine wakaretake moja lkn mwsho wa cku walimaliza
 
Kwangu mimi labda niseme ndio naona hivo, sijui kwa wengine ila mara nyingi naonaga vyuoni watu wanashoia na kufata mkumbo ndio maana wanadisco na kupata masup ya ajabu

Kwanza kozi dume ni kama ipi?
unasoma darasa la ngapi?
 
Wakuu naombeni mnipe ushauri wa kunijenga kisaikolojia ,nimepata supplementary 5 katika masomo nane ninayo soma

Hapa nilipo sina amani kabisa yani ,najiona mkosaji mkubwa sana

Najaribu kutafuta visingizio kwa mzazi lakini nakosa

Natamani kusitisha masomo ili mwakani niombe upya kozi nyingine au kozi ile ile ili mradi nitengeneze cheti kisafi ili huko mbeleni nisisumbuke

Katika maisha yangu nilikuwa sijawahi kukutana na situation kama hii,kwa kifupi sijawahi kufeli sasa kwa marks nilizopata sasa naona kama nimedharirika sio uwezo wangu huo ,to be honest sikuwa serious katika masomo ,sasa chuo kumbe kila kitu kinahesabiwa kuanzia assignments mpaka test bila kusahau UE

Sasa mm assignments nilikuwa nafanya kimzaha mzaha ili mradi nikusanye nionekane nimefanya kazi

Najuta kwa kweli hata hamu ya kula sina ,please ndugu zangu wapendwa wa JF nipeni ushauri jamani tena mbaya zaidi masomo niliyopata sup ni magumu sana kwangu kusapua hivyo basi nahisi naenda kuya carry yote matano aisee roho inaniuma saana
I think you have been discontinued from your studies!
 
Ulienda chuo kufuata mademu? utafanyaje asaimenti hovyohovyo wakati unajua umuhimu wa coursework katika kufanukisha kufaulu kwako.baba yako atakuraruararua.uko mwaka wa ngapi kwani
 
Back
Top Bottom