Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhali

Huo ndio uwezo wako huko ulikosoma kabla walikuwa wanakubeba. Kama haujadisco kutokana pengine na kufikisha gpa ya 2. Komaa nnawajua waliopata sapu 7kwa semister mbili na wakatoboa
Mkuu nashukuru kwa kumtia moyo dogo!!Hehehehe..Mimi nilikua na sup 6 kama sikiosein enzi hizo....tena kila MTU chuoni alikua anaongelea kuhusu mwanafunzi mmoja kua na supp 6...na Mimi nikaenda kucheki matokeo ya Huyo MTU..bahati nzuri chuoni hawaweki majina badala ake wanatumia examination numbers....kwenda kucheki nikajikuta ni Mimi bhana....

Kusema ukweli nilipanick kidogo lakini sikujilaumu sana maana nilikua siko serious na masomo maana muda mwingi nilikua nashinda mjini nafanya mishe za kupata pesa...kwahiyo nilijikuta mwaka wa pili wote nilingia lecture Mara chache sana.Tena imagine engineering!!!

Lakini baada ya hapo nikapanga mkakati wa kusapua....nilifanikiwa kusapua NNE Nina carry mbili.eventually zote nikazisapua....

Wahenga wanasema maisha hayana formula....kwenye kazi pamoja na cheti changu kua lower second..nilikua naitwa kwenye interview nyingi sana pamoja na wale mabidii..wenye first class degrees...lakini nimekua nikipata offer za kazi....kuwazidi wale....embu fikiria kampuni kama songs..pan African energy....

Kwahiyo dogo asikate tamaa.....cha msingi ni kujipanga tu...atatoboa tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So ww hukudisco??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona vinukta nukta tu? Au ushadisco? Humu hujibu kitu bali vinukta nukta tu ila kwenye lile jukwaa la mambo yetu umechangamka kweli kweli.

Lile jukwaa ndio limekuongezea sapu kiongozi, ila usikate tamaa, shule sio kila kitu, karibu kwenye kilimo na ufugaji uje uwaajiri hao waliosoma....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwazid watu form 4 sio maana..mimi nimeaoma na watu walipata dv 3 wamekuja chuo wanapata frst class gpa za 4.6 uko


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe kuomba msahada,lengo lako ni cheti kiwe safi tu,,haya hata ukipata cheti sioni taaluma yako mbeleni,ila pole sana jipange mwakani uingie mazima kweny masomo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna kurudia hapo,kama sheria za vyuo hapo ume Disco,umekuwa disqualified,unarudi nyumbani tu,
 
mtoa post ni jobless tu hana lolote.

Eti coarse work ana "A" , hahahahaha.

Wewe husomi chuo, wala hujui hata chuoni panafananaje.

Kwa kiasi kikubwa inawezekana ulifeli form six, na kama ulijitahidi sana basi utakuwa unasoma certificate.

Kiufupi umejikatia tamaa , desperate and frustrated.

Pole sana uache upumbavu.

Halafu sijui kwanini mods hawakutimui!
 
Mcmu Bdo Kwa Viazi Au Maharage Unaweza Lima Mwakan Mda Kama Huu Utakua M2 Mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…