Nguvu sio Pesa
JF-Expert Member
- Dec 5, 2013
- 380
- 284
Mkuu nashukuru kwa kumtia moyo dogo!!Hehehehe..Mimi nilikua na sup 6 kama sikiosein enzi hizo....tena kila MTU chuoni alikua anaongelea kuhusu mwanafunzi mmoja kua na supp 6...na Mimi nikaenda kucheki matokeo ya Huyo MTU..bahati nzuri chuoni hawaweki majina badala ake wanatumia examination numbers....kwenda kucheki nikajikuta ni Mimi bhana....Huo ndio uwezo wako huko ulikosoma kabla walikuwa wanakubeba. Kama haujadisco kutokana pengine na kufikisha gpa ya 2. Komaa nnawajua waliopata sapu 7kwa semister mbili na wakatoboa
Kusema ukweli nilipanick kidogo lakini sikujilaumu sana maana nilikua siko serious na masomo maana muda mwingi nilikua nashinda mjini nafanya mishe za kupata pesa...kwahiyo nilijikuta mwaka wa pili wote nilingia lecture Mara chache sana.Tena imagine engineering!!!
Lakini baada ya hapo nikapanga mkakati wa kusapua....nilifanikiwa kusapua NNE Nina carry mbili.eventually zote nikazisapua....
Wahenga wanasema maisha hayana formula....kwenye kazi pamoja na cheti changu kua lower second..nilikua naitwa kwenye interview nyingi sana pamoja na wale mabidii..wenye first class degrees...lakini nimekua nikipata offer za kazi....kuwazidi wale....embu fikiria kampuni kama songs..pan African energy....
Kwahiyo dogo asikate tamaa.....cha msingi ni kujipanga tu...atatoboa tu!
Sent using Jamii Forums mobile app