Money Stunna JF-Expert Member Joined Aug 9, 2011 Posts 13,053 Reaction score 6,304 Mar 27, 2014 #1 Leo nilikuwa nachat na wafanyabiashara mbalimbali na wanalalamika kuongezewa kodi. Wanasema kodi imepanda kufidia shughuli zinazoendelea katika nchi. Ebu naomba ukweli kwa nyie mnaofanya biashara kama kodi imeongezeka na watu wanakadiriwa kodi ambayo ni ngumu kuweza kulipa. Mkumbuke kodi ikiwa kubwa zaidi inapelekea biashara kufungwa. Naombeni ukweli wenu kuhusu ili.
Leo nilikuwa nachat na wafanyabiashara mbalimbali na wanalalamika kuongezewa kodi. Wanasema kodi imepanda kufidia shughuli zinazoendelea katika nchi. Ebu naomba ukweli kwa nyie mnaofanya biashara kama kodi imeongezeka na watu wanakadiriwa kodi ambayo ni ngumu kuweza kulipa. Mkumbuke kodi ikiwa kubwa zaidi inapelekea biashara kufungwa. Naombeni ukweli wenu kuhusu ili.
B bikola Member Joined Mar 14, 2014 Posts 17 Reaction score 1 Mar 28, 2014 #2 mabadiliko yeyote ya kodi yanapitishwa na bunge, kwa hiyo ni vyema ukapitia mabadiliko yaliyofanywa kwa ajili ya mwaka huu wa fedha unaoisha, hakuna jipya, ni utekelezaji. inawezekana nguvu ya ufuatiliaji imeongezeka na aina ya ufanyaji tathmini.
mabadiliko yeyote ya kodi yanapitishwa na bunge, kwa hiyo ni vyema ukapitia mabadiliko yaliyofanywa kwa ajili ya mwaka huu wa fedha unaoisha, hakuna jipya, ni utekelezaji. inawezekana nguvu ya ufuatiliaji imeongezeka na aina ya ufanyaji tathmini.