Nimepata taaarifa wafanyabiashara wadogo wameongezewa kodi na kulipa kodi kubwa zaidi

Nimepata taaarifa wafanyabiashara wadogo wameongezewa kodi na kulipa kodi kubwa zaidi

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Leo nilikuwa nachat na wafanyabiashara mbalimbali na wanalalamika kuongezewa kodi.

Wanasema kodi imepanda kufidia shughuli zinazoendelea katika nchi.

Ebu naomba ukweli kwa nyie mnaofanya biashara kama kodi imeongezeka na watu wanakadiriwa kodi ambayo ni ngumu kuweza kulipa.

Mkumbuke kodi ikiwa kubwa zaidi inapelekea biashara kufungwa.

Naombeni ukweli wenu kuhusu ili.
 
mabadiliko yeyote ya kodi yanapitishwa na bunge, kwa hiyo ni vyema ukapitia mabadiliko yaliyofanywa kwa ajili ya mwaka huu wa fedha unaoisha, hakuna jipya, ni utekelezaji. inawezekana nguvu ya ufuatiliaji imeongezeka na aina ya ufanyaji tathmini.
 
Back
Top Bottom