TEAM VIBAJAJI
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 1,858
- 2,298
Mwili mmoja sasa mbona inaonekana mmoja anapata maumivu makali kuliko mwenzieMUME : Mkewangu nimepata tatizo kazini
MKE : Mumewangu unakosea mimi nawewe nimwilimmoja hivyo sema tumepata tatizo kazini
MUME : Sawa mkwe wangu, tumezaa na secretary
[emoji1495]
Jamaa mpaka sasa hajazinduka baada ya kupigwa na meza kichwani
Mwili mmoja sasa mbona inaonekana mmoja anapata maumivu makali kuliko mwenzie
Ni mkwe wake kumbe?????MUME : Mkewangu nimepata tatizo kazini