NIMEPATA TATIZO KAZINI

NIMEPATA TATIZO KAZINI

MUME : Mkewangu nimepata tatizo kazini

MKE : Mumewangu unakosea mimi nawewe nimwilimmoja hivyo sema tumepata tatizo kazini

MUME : Sawa mkwe wangu, tumezaa na secretary
[emoji1495]

Jamaa mpaka sasa hajazinduka baada ya kupigwa na meza kichwani
Mwili mmoja sasa mbona inaonekana mmoja anapata maumivu makali kuliko mwenzie
 
MUME : Mkewangu nimepata tatizo kazini

MKE : Mumewangu unakosea mimi nawewe nimwilimmoja hivyo sema tumepata tatizo kazini

MUME : Sawa mkwe wangu, tumezaa na secretary
[emoji1495]

Jamaa mpaka sasa hajazinduka baada ya kupigwa na meza kichwani
Ni mkwe wake kumbe?????
 
Back
Top Bottom