Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Hahhah muongozo umefanya nini tenaNimemuita aje one mwongozo wako au nakosea bwana mkubwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahhah muongozo umefanya nini tenaNimemuita aje one mwongozo wako au nakosea bwana mkubwa?
Niko hapa ebu ngoja niuoneNgoja aje auone...
Ati muongozo wangu una dhambi gani??Niko hapa ebu ngoja niuone
HaahhahaAti muongozo wangu una dhambi gani??
😊Haahhaha
Hauna dhambi bwana wit mchokozi tu
Ndio ndio[emoji4]
Maji ukiyavulia nguo lazima uyakoge...
Show show...Ndio ndio
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Show show...
Hahahaha...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji847][emoji847]Hahahaha...
[emoji8][emoji8]
💕💕[emoji847][emoji847]
[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16] nilitaka uje aseeHahhah muongozo umefanya nini tena
Hahaah nipo hapa[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16] nilitaka uje asee
Naanzaje kufeli sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anaza single Maza intown.Nahisi nina mimba[emoji1751] kabla sijaipata niliitaman na nikasema niitafute..nikaitafuta kama miez miwili hiv hola sasa mwezi huu nimenasa! Naogopaaa! Nawaza? Nifanyaje? Nitamudu? Kazi zangu itakuaje?
Hlf tayar sasa nakunywa soda tu muda wote sitak mdomo ubak bila kitu..ladha imekua mbaya mdomoni..nawaza tabu za mimba mpaka nijefika miez tisa? Sielew hapa ni kama sitak nataka? Hebu nishaurini nifanyaje? Upande mwingine napata picha ndiyo nimejifungua aah raha sana na katoto kangu kananichangamsha!
Nishaurini kwa upole tu mwenzenu mnajua tena mwenye mimba akili inakua siyo yake
Nenda clinicNahisi nina mimba[emoji1751] kabla sijaipata niliitaman na nikasema niitafute..nikaitafuta kama miez miwili hiv hola sasa mwezi huu nimenasa! Naogopaaa! Nawaza? Nifanyaje? Nitamudu? Kazi zangu itakuaje?
Hlf tayar sasa nakunywa soda tu muda wote sitak mdomo ubak bila kitu..ladha imekua mbaya mdomoni..nawaza tabu za mimba mpaka nijefika miez tisa? Sielew hapa ni kama sitak nataka? Hebu nishaurini nifanyaje? Upande mwingine napata picha ndiyo nimejifungua aah raha sana na katoto kangu kananichangamsha!
Nishaurini kwa upole tu mwenzenu mnajua tena mwenye mimba akili inakua siyo yake
Khah!!! Yaani mimba upewe na mwanaume mwingine, halafu ushauri tuje tukupe sisi!! Kamuulize mhusika wa hiyo mimba.Nahisi nina mimba[emoji1751] kabla sijaipata niliitaman na nikasema niitafute..nikaitafuta kama miez miwili hiv hola sasa mwezi huu nimenasa! Naogopaaa! Nawaza? Nifanyaje? Nitamudu? Kazi zangu itakuaje?
Hlf tayar sasa nakunywa soda tu muda wote sitak mdomo ubak bila kitu..ladha imekua mbaya mdomoni..nawaza tabu za mimba mpaka nijefika miez tisa? Sielew hapa ni kama sitak nataka? Hebu nishaurini nifanyaje? Upande mwingine napata picha ndiyo nimejifungua aah raha sana na katoto kangu kananichangamsha!
Nishaurini kwa upole tu mwenzenu mnajua tena mwenye mimba akili inakua siyo yake
Sawa dear[emoji16]Hahaah nipo hapa
Ebu acha kumuonea smart wangu muache aendelee kutoa muongozo