Nimepata ujauzito sijui ni wa nani

Halafu mnasema wanawake wanaume tunalalama, nadhani ujinga HUO ungemwambia kiria MAAANA katuponda sana. Vidume
 
kwaio unataka sisi tukupigie ramli ili ujue mimba ni yanani na nani akuoe.? mjinga sana wewe.
 
Nimeshajua siku hizi. Ukiona dem wako anakubania kukupa gem ujue amepigwa sio muda au jana yake alipiga gem na mtu mwingine
 
Dada yangu atakaye kuoa ana kazi sana. Nampa pole kwa hilo.ila naomba ubadirike
Naomba uwaambie wote kuwa una mimba. Baada ya kujifungua, angalia mtoto kafanana na nani, ndiyo uumpe huo mzigo.
Ila pole sana, wanaume tuna kazi sana. Tena nzito.
Ila kwa tabia zenu, mesababisha wengine kutoaminiwa na kukukataliwa mimba zao. Kwa drama hizi ni halali mwanaume kukataa mimba. Wako sawa kbsa.
Hawa hawa ukimkuta jf love connect utasikia nahitaji mwanaume mcha Mungu, mweny mapenzi ya dhati. Ni shida sana
 
Ulipata tiba ya Harufu mbaya ukeni? Hongera kwa kupata ujauzito.
 
....''hii mimba niipeleke kwa nani wote ni wanaume wazuri tu ila nimekwama kabisa''....Mimba huwezi kuipeleka kokote,utaendelea kuwa nayo wewe mwenyewe, ila malezi ya mimba ndiyo hujajua umsukumie nani.
 
....''hii mimba niipeleke kwa nani wote ni wanaume wazuri tu ila nimekwama kabisa''....Mimba huwezi kuipeleka kokote,utaendelea kuwa nayo wewe mwenyewe, ila malezi ya mimba ndiyo hujajua umsukumie nani.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Kila mmoja mwambie ni mimba yake, utakapojifungua atakaefanana nae ndo baba ake, mtoto akifanana na wewe hiyo sasa itakua kupatwa kwa mimba....
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] nimependa jibu Eva!
 
Wanaume wenzangu wale maadict wa UVINZA, tustuke sasa. Waweza jikuta unafyonza shahawa za mwanaume mwenzio kwa style hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…