Nimepata ujauzito sijui ni wa nani

Nimepata ujauzito sijui ni wa nani

Wanaume tutaendelea kulea watoto wasio wetu. Mitihani ni mingi duniani.
 
Uzuri shahawa azidanganyi sura itakuja tu hivyo kua makini katika kudanganya huko
 
Aisee!!! hivi broo GuDume inawezekana kabisa kwa sisi tuliopo kwenye ndoa tunalea watoto sio wakwetu? kaka mimi sikushauri kuoa wee baki tu hivyo hivyo
 
Zamani ulikua unakuta baba mmoja ana watoto wanne.
Skuizi unakuta baba wanne wana mtoto mmoja....🤣labda ndio mabadiliko ya tabia ya nchi...teh😜
Ahaaaa kweli dunia inaenda Kasi.
Kusex na watu fotauti kwa wakati mmoja nayo kipaji looh
 
Back
Top Bottom