Nimepata ujauzito sijui ni wa nani

Nimepata ujauzito sijui ni wa nani

Nilisafiri kwenda mkoa fulani kikazi nikafikia hoteli moja kubwa, nikiwa hotelini alikuja mpenzi wangu wa zamani kunisalimia, bahati mbaya tukasex tulipimana HIV kwa vile ana mke akaondoka, nikampigia mpenzi wangu mwingine huyu yupo single akaja nae akataka tusex nikakataa kabisa ila akawa amenishikilia kwa nguvu nae akanimwagia mbegu zake nje hatukusex kabisa ile ya penetration kwa sasa nina ujauzito miezi mitatu sijamueleza yoyote kati yao.

Nilivyorudi Arusha nina mpenzi wa kudumu nae tumeendelea ila najua mimba sio yake maana tunapishana mwezi toka niliposex nae na mimba ilipotokea.
Huyo mume wa mtu nae ananipenda sana na ameshaachana na mke wake sio kwa ajili yangu walikuwa na matatizo muda mrefu hata mimi sikutaka aachane na mkewe hawa wote wananitaka, hii mimba niipeleke kwa nani wote ni wanaume wazuri tu ila nimekwama kabisa.
Vipi Unaendeleaje na mimba yako? Ulipata mtu wa kumsakizia?

Hapa kweli 70% ya wanaume tunasingiziwa watoto!
 
Mimba ni ya kwako mwenyewe na kiranga chako, kuna wanawake mnaakili fupi kuliko kisoda.
 
Ni kweli hujui au unaigiza? Wa arusha sio yake mmepishana mwez, alieokjolea nje sio yake sabab hamkufanya pure penetration....haya kabaki mmoja au kuna wengine hujawataja
 
hivi kumbe na humu bado kuna wanawake wenye umalaya wa namna hii? siku moja wanaume wawili sehemu mmoja na chumba umelipa mwenyewe
 
hebu fafanua hapo ulisex bila penetration ila akakumwagia kwa nje😵 mlikua uchi au hamkuwa uchi? alimwaga juu ya nguo? nimeshindwa kuimeza
 
Back
Top Bottom