jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,812
- 16,487
kweli you a retired sister, how comes usijue na uko ndoani?nahisi nimelogwa,kila nikipata ujauzito nashindwa kujua ni wa nani? sipo tayari kuzaa nje ya ndoa na mzee mzima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweli you a retired sister, how comes usijue na uko ndoani?nahisi nimelogwa,kila nikipata ujauzito nashindwa kujua ni wa nani? sipo tayari kuzaa nje ya ndoa na mzee mzima
Kutembea nje ya ndoa ilikuwa rahisi, kuzaa nje ya ndoa inakuaje vigumu?nahisi nimelogwa,kila nikipata ujauzito nashindwa kujua ni wa nani? sipo tayari kuzaa nje ya ndoa na mzee mzima
Ndo maana nilikuita, coz ukiona tu ID ya ndugu yako cheko linakutokahahahhahah stress free jaman nikiona uzi wa Retired Sister !yan huyu jaman hahahahah
Ndo maana nilikuita, coz ukiona tu ID ya ndugu yako cheko linakutoka
We naweNashangaa mnaonitukana bila sababu utadhani kosa langu mimi sikutaka kufanya mapenzi na hao wanaume .nilimueleza mpenzi naeishi nae yaliyotokea ili aondoke kwangu tuachane .Yeye kasema yupo radhi kunisamehe na kunilea na mtoto tena nisiwaeleze hao jamaa yaliyotokea.ila simuamini mimi nataka tuachane tu nimeshaharibu.
nahisi nimelogwa,kila nikipata ujauzito nashindwa kujua ni wa nani? sipo tayari kuzaa nje ya ndoa na mzee mzima
Hiyo mimba ni yangu, nitafute pmNashangaa mnaonitukana bila sababu utadhani kosa langu mimi sikutaka kufanya mapenzi na hao wanaume .nilimueleza mpenzi naeishi nae yaliyotokea ili aondoke kwangu tuachane .Yeye kasema yupo radhi kunisamehe na kunilea na mtoto tena nisiwaeleze hao jamaa yaliyotokea.ila simuamini mimi nataka tuachane tu nimeshaharibu.