Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,328
- 23,909
Kutokuongea sio vizuri ujue!! Hebu ongea huko.
labda unitafute ndani ya boksi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutokuongea sio vizuri ujue!! Hebu ongea huko.
Ndani ya boksi ndio utaongea? Usiniambie nawe una aibu kama mimi.labda unitafute ndani ya boksi!
Kila mmoja mwambie ni mimba yake, utakapojifungua atakaefanana nae ndo baba ake, mtoto akifanana na wewe hiyo sasa itakua kupatwa kwa mimba....
Ndani ya boksi ndio utaongea? Usiniambie nawe una aibu kama mimi.
Hivi hakuna abomination hapo[emoji134] [emoji134]sie watoto wa babu mmoja....
Hivi hakuna abomination hapo[emoji134] [emoji134]
Mie nimefika kwenye boksi nashangaa hautokei, unanichomesha mahindi tu.Tushabarikiwa!
unachelewa ujue...
aiseee,huu ushaur wa karne,ukafanye kazi maendeleo ya jamii,wazee,jinsia na watotoKila mmoja mwambie ni mimba yake, utakapojifungua atakaefanana nae ndo baba ake, mtoto akifanana na wewe hiyo sasa itakua kupatwa kwa mimba....