Nimepata ujauzito sijui ni wa nani

Nimepata ujauzito sijui ni wa nani

Kila mmoja mwambie ni mimba yake, utakapojifungua atakaefanana nae ndo baba ake, mtoto akifanana na wewe hiyo sasa itakua kupatwa kwa mimba....
aiseee,huu ushaur wa karne,ukafanye kazi maendeleo ya jamii,wazee,jinsia na watoto
 
nahisi nimelogwa,kila nikipata ujauzito nashindwa kujua ni wa nani? sipo tayari kuzaa nje ya ndoa na mzee mzima
 
Back
Top Bottom