Nimepata ujumbe kutoka kwa YoWhatsapp ikinitaka nitumie official WhatsApp

Nimepata ujumbe kutoka kwa YoWhatsapp ikinitaka nitumie official WhatsApp

Niache Nteseke

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2020
Posts
2,162
Reaction score
2,616
Wakuu heshima kwenu.

Niende kwenye mada husika. Nimepata ujumbe kutoka kwa YoWhatsapp ikinitaka nitumie Official Whatsapp.

Nawezaje ku-link messages za YoWhatsapp na Whatsapp ya kawaida, coz wakiipiga ban natumai msg zote zitafutika na kuanza upya.

Sasa nawezaje ku-solve hili suala aidha, nitumie hiyo hiyo Yo kwa kuifanyia manoeuvre isipogwe ban au kutumia Whatsapp ya kawaida ikiwa na chats za zamani wakuu...?

Naombeni msaada wenu tafadhali. Thanks...!

Screenshot_20240229-202151.jpg
 
Biashara imekukata mkuu,

Ukijaribu janja janja watakupa ban permanent.

Kosa kubwa ulilolifanya ni kutumia WhatsApp, watakutreat kama drug dealer, usijaribu janja za kubackup na drive.
 
Mimi ilinikuta hii wiki tatu za nyuma, ikabidi nidownload watsup official.
Sasa si wangetuachia chat zetu tuki-restore ziendelee kuwepo tu kwa nini wanafuta na chats zote aisee.
 
Back
Top Bottom