Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Hahaaaa mkuu ingekuwa kweli hiyo % basi tungeisha woteUngana na watanzania asilimia 63 wanaotumia ARV.
doh!! hii nayo kali, wewe ulijuaje kama alikua na michubuko mdomoni na umejuaje kama huyo dada ndie aliekuambukiza au siku hizi ukipima unaonyeshwa kabisa nani kakuambukiza.Roho inaniuma sana,nimeathirika kijinga sana
Yani niliomba sigara kwa demu flani club kupiga mistari kadhaa kumbe yule demu ni muathirika na alikuwa na michubuko mdomoni
Asa na mimi nilikuwa na michubuko kidogo nilivyovuta ile sigara inaonekana virusi nilipata kwa njia iyo
Naumia sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata mimi nimepata ukimwi kwa kunywa bia ya Punda. [emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji111]
Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
hahahahahahahaHata mimi nimepata ukimwi kwa kunywa bia ya Punda. [emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji111]
Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]