Nimepata ukimwi kwa kugongea sigara.

Nimepata ukimwi kwa kugongea sigara.

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
20,137
Reaction score
26,189
Roho inaniuma sana,nimeathirika kijinga sana

Yani niliomba sigara kwa demu flani club kupiga mistari kadhaa kumbe yule demu ni muathirika na alikuwa na michubuko mdomoni
Asa na mimi nilikuwa na michubuko kidogo nilivyovuta ile sigara inaonekana virusi nilipata kwa njia iyo

Naumia sana.
 
doh!! hii nayo kali, wewe ulijuaje kama alikua na michubuko mdomoni na umejuaje kama huyo dada ndie aliekuambukiza au siku hizi ukipima unaonyeshwa kabisa nani kakuambukiza.

Utatenda dhambi bure ya kusingizia watoto wa watu. Na ulijuaje kama huyo dada anao
 
Hata mimi nimepata ukimwi kwa kunywa bia ya Punda. [emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji111]

Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom