Niaje wadau
Nimepata ushawishi wa kwenda kuangalia na kucheza huu wimbo remix ya tetema yes 🙂OH MAMA TETEMA by rayvanny,Nora fatehi and Shreya
Kutoka kwenye COMMENTS ZA watu mbalimbali pale mjini FESIBUKU
MY VIEW,,,,,,
HII NGOMA nimeona ni kali sana yani jamaa alitulia sana kipindi icho kuandika TETEMA ORIGINAL SONG
Sasa ngma ina. Remix kibao
ILA wadau mbalimbali huko FESIBUKU nimeona wamemkandia sana jamaa kuwa katoa kitu cha hovyo,wengine wanasema kaishiwa hana lolote, wengine mzee wa remix hovyhovyo
Eniweyz KAMA kawaida Mtanzania lazima awe na chuki wivu kukunja
That's why uchawi upo katika damu
All in all niseme tu Hii ngoma ni kali sana NA vile kuleta mataifa mbalimbali na lugha tofauti katika ngoma moja ni unyama sana
Pia naona imekuwa kama sampled tu sio vileee remix
So bigup VANY BOY đź’Ş
Your view kama mtanzania ni ipi