Nimepata uvimbe sehemu ya haja kubwa. Napata maumivu makali nikitembea

Ndugu zanguni ni mara ya pili naingia kwenye huu uzi walau nione kama naweza pata tiba ambayo inaweza kunisaidia. Ni mara ya pili napatwa na ugonjwa huu mara ya kwanza docta hakunielezea ni ugonjwa gani bali alinipa dawa tu...
Tumia utomvu wa alovera uwe unapaka asubuhi 'na jioni litaisha
 
Pole sana, Jah akufanyie uponyaji na uweze kuwa sawa km zamani.
 
Mkuu tafuta mafuta ya mnyonyo au Habbat Soda uwe unajipaka hizo sehemu
 
Ndugu zanguni ni mara ya pili naingia kwenye huu uzi walau nione kama naweza pata tiba ambayo inaweza kunisaidia. Ni mara ya pili napatwa na ugonjwa huu mara ya kwanza docta hakunielezea ni ugonjwa gani bali alinipa dawa tu....
Tafuta alovera kata lile jani Yale maji pakaa sehemu husika utasahau kabisa hiyo ndio dawa
 
Ndugu zanguni ni mara ya pili naingia kwenye huu uzi walau nione kama naweza pata tiba ambayo inaweza kunisaidia. Ni mara ya pili napatwa na ugonjwa huu mara ya kwanza docta hakunielezea ni ugonjwa gani bali alinipa dawa tu...
Pole sana ni ugonjwa wa aibu sana huo.
 
Ni kweli kabisa, tumia aloevera kama mdau alivyoshauri hapo juu. I am speaking from personal experience, wiki ilikuwa ni nyingi ukafutika kabisa
Alovera ni nini na inapatikana wapi jamani?
 
Upo mkoa gani nikutumie dawa bureeee ugharimie usafiri tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…