Nimepata wa kunifadhili masomo yangu, lakini kuna hili

Nimepata wa kunifadhili masomo yangu, lakini kuna hili

Nakusubiri mkuu, nitashukuru ukifanya kitu ili kunisaidia

Raelish Nilisema nitarudi nilijipa muda kutafuta njia za kuweza kutatua tatizo lako.
kuna taasisi moja inaitwa micco ilikua inatoa msaada kusomesha watu wasio na uwezo, mayatima nk.

nimefuatilia pale ilipokua ofisi yao kwa sasa hawapo tena kwa sasa wamehama na wapangaji wapya niliowakuta ktk ile ofisi hawajui wapi hao micco walipohamia.

naendelea kutafuta taarifa zaidi pamoja na njia zinazoweza kukusaidia halafu nitakujuza.
 
Last edited by a moderator:
unadhani sijasoma kaka....huyu dogo anazingua aisee...ukifuatilia posts zake zingine kwenye jukwaa la siasa anaandika vizuri tu...huku kaja kutuzingua tu

HV! ww unataka mwandiko mzur, au aandike insha au hujajua lengo lake?!, ww ni mjinga kwa sababu huwezi kumsaidia kimawazo wala kifedha, TULIA,usimletee nuksi, ww ni MCHAWI.
 
Pole ndugu,Nyie mnao mbeza ni kwavile hayajawakuta.Mungu mkubwa naamini utafanikiwa.usikate tamaa.Hiyo course ya Pharmacy umechaguliwa chuo gani?Pia tofauti ya ada kati ya hivyo vyuo viwili ipoje?Kiwango cha mshahara kwa course za diploma upande wa sekta ya afya ni sawa kwahyo kutokana na hali halisi ilivyo ni bora kwenda kule kwenye unafuu wa ada then utakapoenda degree basi waweza chagua course uipendayo.
 
Back
Top Bottom