lile nalo lilikuwa shati sana.Hivi yule wa Pwani alikuwa Dar, sijui atasema nn, the guy kama haelewi position aliyonayo
Nimepata wazo ila sina connection kwa mikoa yote. Mtaka baada ya kuwaapisha (au kabla) wakuu wa wilaya akatoa speech fulani yenye shibe sana. Hawakukosea kumuweka pale Dodoma.
Sasa wazo langu ni kuwa atokee mdau akusanye hotuba zote za wakuu wa mikoa wakati huu wa kuapishana ili tuwasikilize. Tutapata mengi toka kwao. Pia tutawatambua ni wepi watawala na wepi viongozi. Wepi wana power adolsence na wepi wana maturity. Wepi wa kusuluhishwa kesi zao na wepi wa kupewa complement.
Karibuni
View attachment 1828010

Kunenge ni mtendaji na sio mwanasiasa ndio maana porojo hana yeye ni utendaji tu.Hivi yule wa Pwani alikuwa Dar, sijui atasema nn, the guy kama haelewi position aliyonayo
Hicho kichwa chako kikoje? Unapata wazo kwa speech? Unaona ni rahisi kujua kiongozi mzuri kwa speech? Huoni kama una matatizo kichwani? Je, uliwahi kusikia speech za Adolf Hitler au Benito Mussolini?Nimepata wazo ila sina connection kwa mikoa yote. Mtaka baada ya kuwaapisha (au kabla) wakuu wa wilaya akatoa speech fulani yenye shibe sana. Hawakukosea kumuweka pale Dodoma.
Sasa wazo langu ni kuwa atokee mdau akusanye hotuba zote za wakuu wa mikoa wakati huu wa kuapishana ili tuwasikilize. Tutapata mengi toka kwao. Pia tutawatambua ni wepi watawala na wepi viongozi. Wepi wana power adolsence na wepi wana maturity. Wepi wa kusuluhishwa kesi zao na wepi wa kupewa complement.
Karibuni
Weka speech badala ya picha. Picha yake inafahamikaNimepata wazo ila sina connection kwa mikoa yote. Mtaka baada ya kuwaapisha (au kabla) wakuu wa wilaya akatoa speech fulani yenye shibe sana. Hawakukosea kumuweka pale Dodoma.
Sasa wazo langu ni kuwa atokee mdau akusanye hotuba zote za wakuu wa mikoa wakati huu wa kuapishana ili tuwasikilize. Tutapata mengi toka kwao. Pia tutawatambua ni wepi watawala na wepi viongozi. Wepi wana power adolsence na wepi wana maturity. Wepi wa kusuluhishwa kesi zao na wepi wa kupewa complement.
Karibuni
Ni kweli kabisa. He is too big for that positionRais Samia hakukosea kumtoa huyu jamaa Simiyu na kumweka karibu yake. Mama anapenda kuwa karibu na watu smart vichwani, ni desturi ya kinamama kuvutiwa na substance ya mtu.
Dodoma imetendewa haki, ni wajibu wa wabunge na madiwani kuepuka majungu ili mkoa ufaidike na uwezo wa kiuongozi wa huyu brother.
Sawa Kasesera nimekusikia. Mzee wa trakoHicho kichwa chako kikoje? Unapata wazo kwa speech? Unaona ni rahisi kujua kiongozi mzuri kwa speech? Huoni kama una matatizo kichwani? Je, uliwahi kusikia speech za Adolf Hitler au Benito Mussolini?
Nimekuuliza, lakini binafsi naona una mapungufu kichwani. Hisia yangu ni kwamba unalazimisha tuendelee kusikia jina la Mtaka na tumjadili ili aonekane ni kiongozi mzuri. Yeye ni mkuu wa mkoa, subili aendelee na kazi na baada ya miaka kadhaa tutamjadili kwa kusimamia matendo, siyo kwa speech. Hata wajinga huweza sana kusoma speech nzuri. Si unajua Samia kusoma kiingereza tu, alipewa sifa na wale wenye matumaini ya kuteuliwa? Alipo tweet kikateleza! Subili mafanikio.