Nimepatwa na ugonjwa wa ajabu kwenye pumbu!

Nimepatwa na ugonjwa wa ajabu kwenye pumbu!

ugalila

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2015
Posts
652
Reaction score
602
Kuna kidonda kinafanana na chale kwenye pumbu yangu naombeni msaada kama huu ugonjwa gani unaninyemelea???
Je hii inaweza ikawa ni ugonjwa wa zinaa?? Je ni upi??
Je inaweza kuwa ni chale ya wachawi?? Je nitatuaje hili tatizo??
 
Njoo uombewe kwa jina la Yesu.
 
Wapi hapo kuna kanisa la kiroho la ukweli?? Je umewahi sikia ushuhuda wowote kuhusu hili???
 
mkuu nenda hospital bana, bado idadi yetu ni chache, tusikupoteze
 
Hiyo ni kaswende, kimbilia hospitali mkuu ila kikubwa acha ngono pia!
 
Je Kuna maumivu unayohisi? Au mabadiliko mengine yanayojitokeza? kama ndio wahi hrk hospital kwa msaada zaidi!!!! Over
 
Hapo kwenye kakidonda ndo panauma mkuu maana natembea kwa shida
Je Kuna maumivu unayohisi? Au mabadiliko mengine yanayojitokeza? kama ndio wahi hrk hospital kwa msaada zaidi!!!! Over
 
Nikirudi kwenye point ishu ni kukimbikia hospital haraka mkuu
 
Kuna kidonda kinafanana na chale kwenye pumbu yangu naombeni msaada kama huu ugonjwa gani unaninyemelea???
Je hii inaweza ikawa ni ugonjwa wa zinaa?? Je ni upi??
Je inaweza kuwa ni chale ya wachawi?? Je nitatuaje hili tatizo??
kwani mgegedo ulipona?
Ninasumbuliwa na tatizo LA uume kutosimama vizuri wakati wa kugegenda. Naombeni kujua ni hospitali gani kwa dar hapa naweza kupatiwa ufumbuzi wa tatizo hili?? Kama kuna MTU ana uzoefu na utatuzi was hili tatizo msaada wako Ni muhimu sana, maama mwenzenu naumbuka huku.
hahaa mkuu una chai wewe! ongeza gahwa na tende tafadhali kijiwe kichangamke
 
Back
Top Bottom