Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ulishawahi kusikia popote ugonjwa kama huu?? Maana nina stress hapa sijui nianzie wapi! ...asante kwa ushauri wa mwanzoUmerogwa wewe.
Tafuta ustaadhi akusaidie.
Wapi hapo kuna kanisa la kiroho la ukweli?? Je umewahi sikia ushuhuda wowote kuhusu hili???Njoo uombewe kwa jina la Yesu.
Ikaombewe pumbu?!Njoo uombewe kwa jina la Yesu.
Na mchungaji atashika wapi wakati anasema baba katika jina la yesu pepo toka🙂🙂Ikaombewe pumbu?!
Nachojiuliza yeye mwenyew hawezi jiombeaNa
Na mchungaji atashika wapi wakati anasema baba katika jina la yesu pepo toka🙂🙂
Njoo Kurasini ufundiWapi hapo kuna kanisa la kiroho la ukweli?? Je umewahi sikia ushuhuda wowote kuhusu hili???
Je Kuna maumivu unayohisi? Au mabadiliko mengine yanayojitokeza? kama ndio wahi hrk hospital kwa msaada zaidi!!!! Over
Idadi ya akina nani wachache?mkuu nenda hospital bana, bado idadi yetu ni chache, tusikupoteze
kwani mgegedo ulipona?Kuna kidonda kinafanana na chale kwenye pumbu yangu naombeni msaada kama huu ugonjwa gani unaninyemelea???
Je hii inaweza ikawa ni ugonjwa wa zinaa?? Je ni upi??
Je inaweza kuwa ni chale ya wachawi?? Je nitatuaje hili tatizo??
hahaa mkuu una chai wewe! ongeza gahwa na tende tafadhali kijiwe kichangamkeNinasumbuliwa na tatizo LA uume kutosimama vizuri wakati wa kugegenda. Naombeni kujua ni hospitali gani kwa dar hapa naweza kupatiwa ufumbuzi wa tatizo hili?? Kama kuna MTU ana uzoefu na utatuzi was hili tatizo msaada wako Ni muhimu sana, maama mwenzenu naumbuka huku.
Idadi ya akina nani wachache?
Mwone gwajimaWapi hapo kuna kanisa la kiroho la ukweli?? Je umewahi sikia ushuhuda wowote kuhusu hili???
kwani mgegedo ulipona?
hahaa mkuu una chai wewe! ongeza gahwa na tende tafadhali kijiwe kichangamke
Kwani vitu hivi havipo mkuu ??? Acha watu tupate maarifa??kwani mgegedo ulipona?
hahaa mkuu una chai wewe! ongeza gahwa na tende tafadhali kijiwe kichangamke