Mbona wanishtua hivyo??? Huyo siwezi mzuia kwa maombi makali??Doh doh doh.......hiyo ni taarifa ya popobawa mkuu.....
Usipuuze kabisa.....huwa wanakuja kwa namna hiyo......
Cha kufanya....hana hiyo nyumba......na ufunge hapo sehemu na kamba ya mgomba.......
Duh hili ngoja leo nalipatia ufumbuzi maana nimeamua kwenda kumuona daktariHicho kidonda kitaalam kinaitwa 'chancre' , zinaweza kuwa ni dalili za ugonjwa wa kaswende.
Kaswende sugu haitibiki au?Inawezekana umepata kaswende sugu.Nenda zahanati ukapime kipimo cha syphilis kiitwacho VDRL.
Nini alternative ya hivyo vitu hapo ?? Kwa faida ya wanajamii woteHaya mambo ya kutumia topaz mara kumi onana sasa!!!!
Au ni hizo boxer
Au ni zile love bites nazo pia zinakuwa hivyo...
chancroid na kaswende ni magonjwa tofauti.Hicho kidonda kitaalam kinaitwa 'chancre' , zinaweza kuwa ni dalili za ugonjwa wa kaswende.
Kaswende sugu haitibiki au?
Wewe kaswende itakua imekupanda hadi kwenye ubongo.Na
Na mchungaji atashika wapi wakati anasema baba katika jina la yesu pepo toka🙂🙂