- Thread starter
- #41
Mbona wanishtua hivyo??? Huyo siwezi mzuia kwa maombi makali??Doh doh doh.......hiyo ni taarifa ya popobawa mkuu.....
Usipuuze kabisa.....huwa wanakuja kwa namna hiyo......
Cha kufanya....hana hiyo nyumba......na ufunge hapo sehemu na kamba ya mgomba.......