Mmh!!Muoe yeye tu, maana akiamua kuharibu, utasota pia kuvuka kikwazo chake
Huyo anakupima imani, huenda amesikia unataka oa ndio anatest zariβ¦Endelea na mipango yakoUkisikia mtu anapatwa na msongo wa mawazo ndiyo hapa Sasa. Nimesota Sana kumpata mtu sahihi (wife material).
Hivi karibuni nimekata shauri kumchumbia mdada fulani baada ya kuwa na vigezo karibu vyote ninavyohitaji, na kuamua kupeleka barua ya posa.
Baada ya siku 3 tu napata sms ya danga fulani ambalo lilikuwa likinipa huduma karibu na bure kila ninapokuwa na kiu likiniarifu kuwa lina ujauzito.
Sijapokea wala kujibu simu/sms zake. Wadau naombeni msaada wa kimawazo natokaje ktk hili?
Tatizo sexlessUkisikia mtu anapatwa na msongo wa mawazo ndiyo hapa Sasa. Nimesota Sana kumpata mtu sahihi (wife material).
Hivi karibuni nimekata shauri kumchumbia mdada fulani baada ya kuwa na vigezo karibu vyote ninavyohitaji, na kuamua kupeleka barua ya posa.
Baada ya siku 3 tu napata sms ya danga fulani ambalo lilikuwa likinipa huduma karibu na bure kila ninapokuwa na kiu likiniarifu kuwa lina ujauzito.
Sijapokea wala kujibu simu/sms zake. Wadau naombeni msaada wa kimawazo natokaje ktk hili?
Hili jina kila nilionapo moyo wng unalipukaHueleweki.. Mwanamme anashikaje mimba?
Bado unampenda huyo!Hili jina kila nilionapo moyo wng unalipuka
namkumbuka sana x wng [emoji26][emoji26][emoji26]
Anazingua sasa maswali Gani hayo anaulizaBado unampenda huyo!
πππAnazingua sasa maswali Gani hayo anauliza
Mimba ni baraka mpe hongera sana na muombee malezi memaUkisikia mtu anapatwa na msongo wa mawazo ndiyo hapa Sasa. Nimesota Sana kumpata mtu sahihi (wife material).
Hivi karibuni nimekata shauri kumchumbia mdada fulani baada ya kuwa na vigezo karibu vyote ninavyohitaji, na kuamua kupeleka barua ya posa.
Baada ya siku 3 tu napata sms ya danga fulani ambalo lilikuwa likinipa huduma karibu na bure kila ninapokuwa na kiu likiniarifu kuwa lina ujauzito.
Sijapokea wala kujibu simu/sms zake. Wadau naombeni msaada wa kimawazo natokaje ktk hili?
Anaitwa Sexless!! sometimes anakuwa Female na wakati mwingine ni Male. Sexless!!!!Kuna nyuzi ulidai kuwa unataka kuolewa na mwenye pesa, leo umekuja na agenda nyingine inayoonyesha kuwa wewe nae unaweza kuoa??
OK
π€£π€£π€£π€£π€£π€£Kuna nyuzi ulidai kuwa unataka kuolewa na mwenye pesa, leo umekuja na agenda nyingine inayoonyesha kuwa wewe nae unaweza kuoa??
OK