nimependa kiswahili cha Obama..!

nimependa kiswahili cha Obama..!

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
kasema habari zenyu bhaaana!!?..halafu kamalizia kwa kusema asante, asanteni sana. pamoja na kujiforce kuongea kiswahili lakini mwenyeji wake mwanzo mwisho wa hotuba yake hajaongea neno la kiswahili. Ni aibu kwa waswahili. mia
 
shangaa nawewe...na uhakika angekuwa kenya alafu mwai kibaki atoe hutuba nae jukwaa moja angechekesha angalau kwa kiswahili
 
Back
Top Bottom