Nimependa majibu ya Lugumi, kumbe jamaa ni darasa la saba tu. Je, Hayati Magufuli alikuwa na personal conflict naye?

Makonde plateu

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
1,443
Reaction score
3,480
Wakuu ama hakika nimeipenda interview ya Millard Ayo na Saidi Lugumi na anasema yeye hajawahi kumtapeli mtu, hajawahi kumfitini mtu, hawajahi kumdhulumu na anaamini pesa alizonazo sio za kwake na kingine eti jamaa ameishia darasa la saba nimeshangaa ujanja ujanja ya huyu jamaa duu kweli ujanja si kusoma bwana

Swali; Je, JPM alikuwa na personal conflict na Lugumi au Lugumi alikuwa na makando kando?

Pia soma - Said Lugumi aita watoto 700+ nyumbani kwake kufanya ibada, kula, kunywa na kucheza pamoja kwa siku nzima

Tazama interview yake hapo chini 👇👇👇

Nje ya mada kidogo.

Kwanini hao matajiri hawatoi misaada inayoweza kubadili maisha ya watu badala yake wanatoa misaada ya papo hapo na maisha yako yanabaki vile vile???

Yaani kwa mfano, kwanini Mara nyingi wanatoa misaada ya kula na kunywa, nguo n.k, kwanini hawatoi misaada ya mitaji au miradi??
 
Sasa hao madogo wenye chini ya miaka 10 mitaji yakupeleka wapi
 
Nje ya mada kidogo.

Kwanini hao matajiri hawatoi misaada inayoweza kubadili maisha ya watu badala yake wanatoa misaada ya papo hapo na maisha yako yanabaki vile vile???

Yaani kwa mfano, kwanini Mara nyingi wanatoa misaada ya kula na kunywa, nguo n.k, kwanini hawatoi misaada ya mitaji au miradi??
Hapo si umemsikia anasema anawasomesha watoto, wanawapa mitaji,wanawatafutia makazi ya kukaa

Ova
 
Nje ya mada kidogo.

Kwanini hao matajiri hawatoi misaada inayoweza kubadili maisha ya watu badala yake wanatoa misaada ya papo hapo na maisha yako yanabaki vile vile???

Yaani kwa mfano, kwanini Mara nyingi wanatoa misaada ya kula na kunywa, nguo n.k, kwanini hawatoi misaada ya mitaji au miradi??
Rafiki yangu kwan hujasikia kuwa anawasomesha hao mayatima hadi chuo? Au ukitaka msaada gan zaid ya huo? Au Ndio Roho Inakuuma Kwa Vile Ni Muislamu 😅😅
 
Wakuu ama hakika nimeipenda interview ya Millard Ayo na Saidi Lugumi na anasema yeye hajawahi kumtapeli mtu, hajawahi kumfitini mtu, hawajahi kumdhulumu na anaamini pesa alizonazo sio za kwake na kingine eti jamaa ameishia darasa la saba nimeshangaa ujanja ujanja ya huyu jamaa duu kweli ujanja si kusoma bwana

Swali; Je, JPM alikuwa na personal conflict na Lugumi au Lugumi alikuwa na makando kando?

Pia soma - Said Lugumi aita watoto 700+ nyumbani kwake kufanya ibada, kula, kunywa na kucheza pamoja kwa siku nzima

Tazama interview yake hapo chini 👇👇👇

Huu ndio utajiri mtamu.
Napenda sana utoaji kwa wasiojiweza
 
Nje ya mada kidogo.

Kwanini hao matajiri hawatoi misaada inayoweza kubadili maisha ya watu badala yake wanatoa misaada ya papo hapo na maisha yako yanabaki vile vile???

Yaani kwa mfano, kwanini Mara nyingi wanatoa misaada ya kula na kunywa, nguo n.k, kwanini hawatoi misaada ya mitaji au miradi??
Umesikiliza Hadi mwisho?
Lugumi anawasomesha hao wote
 
Wakuu ama hakika nimeipenda interview ya Millard Ayo na Saidi Lugumi na anasema yeye hajawahi kumtapeli mtu, hajawahi kumfitini mtu, hawajahi kumdhulumu na anaamini pesa alizonazo sio za kwake na kingine eti jamaa ameishia darasa la saba nimeshangaa ujanja ujanja ya huyu jamaa duu kweli ujanja si kusoma bwana

Swali; Je, JPM alikuwa na personal conflict na Lugumi au Lugumi alikuwa na makando kando?

Pia soma - Said Lugumi aita watoto 700+ nyumbani kwake kufanya ibada, kula, kunywa na kucheza pamoja kwa siku nzima

Tazama interview yake hapo chini 👇👇👇

Watanzania tuna mengi ya kujifunza kila siku
 
Jiwe akipambana na wezi wa mali ya uma unaita personal conflict!!??
Tz kuna majinga mengi sana
 
Back
Top Bottom