Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
Wakuu ama hakika nimeipenda interview ya Millard Ayo na Saidi Lugumi na anasema yeye hajawahi kumtapeli mtu, hajawahi kumfitini mtu, hawajahi kumdhulumu na anaamini pesa alizonazo sio za kwake na kingine eti jamaa ameishia darasa la saba nimeshangaa ujanja ujanja ya huyu jamaa duu kweli ujanja si kusoma bwana
Swali; Je, JPM alikuwa na personal conflict na Lugumi au Lugumi alikuwa na makando kando?
Pia soma - Said Lugumi aita watoto 700+ nyumbani kwake kufanya ibada, kula, kunywa na kucheza pamoja kwa siku nzima
Tazama interview yake hapo chini 👇👇👇