Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
Na ukipanda treni ya sgr unajiselfisha kabisaJiwe alikuwa mtu wa visasi na mpenda sifa za kijinga.
Na status anajiweka....hajui ni matokeo ya kazi ya mwanaume aliyeamua kufanya maamuzi magumu.Na ukipanda treni ya sgr unajiselfisha kabisa
Sasa hao madogo wenye chini ya miaka 10 mitaji yakupeleka wapiNje ya mada kidogo.
Kwanini hao matajiri hawatoi misaada inayoweza kubadili maisha ya watu badala yake wanatoa misaada ya papo hapo na maisha yako yanabaki vile vile???
Yaani kwa mfano, kwanini Mara nyingi wanatoa misaada ya kula na kunywa, nguo n.k, kwanini hawatoi misaada ya mitaji au miradi??
Hapo si umemsikia anasema anawasomesha watoto, wanawapa mitaji,wanawatafutia makazi ya kukaaNje ya mada kidogo.
Kwanini hao matajiri hawatoi misaada inayoweza kubadili maisha ya watu badala yake wanatoa misaada ya papo hapo na maisha yako yanabaki vile vile???
Yaani kwa mfano, kwanini Mara nyingi wanatoa misaada ya kula na kunywa, nguo n.k, kwanini hawatoi misaada ya mitaji au miradi??
Rafiki yangu kwan hujasikia kuwa anawasomesha hao mayatima hadi chuo? Au ukitaka msaada gan zaid ya huo? Au Ndio Roho Inakuuma Kwa Vile Ni Muislamu π πNje ya mada kidogo.
Kwanini hao matajiri hawatoi misaada inayoweza kubadili maisha ya watu badala yake wanatoa misaada ya papo hapo na maisha yako yanabaki vile vile???
Yaani kwa mfano, kwanini Mara nyingi wanatoa misaada ya kula na kunywa, nguo n.k, kwanini hawatoi misaada ya mitaji au miradi??
Hakika. Ndio maana alitaka kumuua Tundu LissuJiwe alikuwa mtu wa visasi na mpenda sifa za kijinga.
Huu ndio utajiri mtamu.Wakuu ama hakika nimeipenda interview ya Millard Ayo na Saidi Lugumi na anasema yeye hajawahi kumtapeli mtu, hajawahi kumfitini mtu, hawajahi kumdhulumu na anaamini pesa alizonazo sio za kwake na kingine eti jamaa ameishia darasa la saba nimeshangaa ujanja ujanja ya huyu jamaa duu kweli ujanja si kusoma bwana
Swali; Je, JPM alikuwa na personal conflict na Lugumi au Lugumi alikuwa na makando kando?
Pia soma - Said Lugumi aita watoto 700+ nyumbani kwake kufanya ibada, kula, kunywa na kucheza pamoja kwa siku nzima
Tazama interview yake hapo chini πππ
Lilisikika jinga moja la huko kiembembuzi likinena hovyoJiwe alikuwa mtu wa visasi na mpenda sifa za kijinga.
Umesikiliza Hadi mwisho?Nje ya mada kidogo.
Kwanini hao matajiri hawatoi misaada inayoweza kubadili maisha ya watu badala yake wanatoa misaada ya papo hapo na maisha yako yanabaki vile vile???
Yaani kwa mfano, kwanini Mara nyingi wanatoa misaada ya kula na kunywa, nguo n.k, kwanini hawatoi misaada ya mitaji au miradi??
Mmepigwa makodi yenu .....kweli ujinga mzigoHuu ndio utajiri mtamu.
Napenda sana utoaji kwa wasiojiweza
Sio wote walionewa.Jiwe alikuwa mtu wa visasi na mpenda sifa za kijinga.
Watanzania tuna mengi ya kujifunza kila sikuWakuu ama hakika nimeipenda interview ya Millard Ayo na Saidi Lugumi na anasema yeye hajawahi kumtapeli mtu, hajawahi kumfitini mtu, hawajahi kumdhulumu na anaamini pesa alizonazo sio za kwake na kingine eti jamaa ameishia darasa la saba nimeshangaa ujanja ujanja ya huyu jamaa duu kweli ujanja si kusoma bwana
Swali; Je, JPM alikuwa na personal conflict na Lugumi au Lugumi alikuwa na makando kando?
Pia soma - Said Lugumi aita watoto 700+ nyumbani kwake kufanya ibada, kula, kunywa na kucheza pamoja kwa siku nzima
Tazama interview yake hapo chini πππ
π anakuambia mzee wa msg alimsaidia sanaMmepigwa makodi yenu .....kweli ujinga mzigo
Jiwe akipambana na wezi wa mali ya uma unaita personal conflict!!??Wakuu ama hakika nimeipenda interview ya Millard Ayo na Saidi Lugumi na anasema yeye hajawahi kumtapeli mtu, hajawahi kumfitini mtu, hawajahi kumdhulumu na anaamini pesa alizonazo sio za kwake na kingine eti jamaa ameishia darasa la saba nimeshangaa ujanja ujanja ya huyu jamaa duu kweli ujanja si kusoma bwana