Nje ya mada kidogo.
Kwanini hao matajiri hawatoi misaada inayoweza kubadili maisha ya watu badala yake wanatoa misaada ya papo hapo na maisha yako yanabaki vile vile???
Yaani kwa mfano, kwanini Mara nyingi wanatoa misaada ya kula na kunywa, nguo n.k, kwanini hawatoi misaada ya mitaji au miradi??
Sasa hao madogo wenye chini ya miaka 10 mitaji yakupeleka wapi
We umetoa msaada wa mtaji mkubwa kwa nani? Au na wewe pia bado unahitaji msaada ?Nje ya mada kidogo.
Kwanini hao matajiri hawatoi misaada inayoweza kubadili maisha ya watu badala yake wanatoa misaada ya papo hapo na maisha yako yanabaki vile vile???
Yaani kwa mfano, kwanini Mara nyingi wanatoa misaada ya kula na kunywa, nguo n.k, kwanini hawatoi misaada ya mitaji au miradi??
Ni jambo linalowezekana, ni kama wewe ulivyoweza kumsaidia fulani siku moja ila si kila siku, sherehe hufanyika siku moja ila huwezi fanya sherehe kila siku.Nje ya mada kidogo.
Kwanini hao matajiri hawatoi misaada inayoweza kubadili maisha ya watu badala yake wanatoa misaada ya papo hapo na maisha yako yanabaki vile vile???
Yaani kwa mfano, kwanini Mara nyingi wanatoa misaada ya kula na kunywa, nguo n.k, kwanini hawatoi misaada ya mitaji au miradi??
Wakuu ama hakika nimeipenda interview ya Millard Ayo na Saidi Lugumi na anasema yeye hajawahi kumtapeli mtu, hajawahi kumfitini mtu, hawajahi kumdhulumu na anaamini pesa alizonazo sio za kwake na kingine eti jamaa ameishia darasa la saba nimeshangaa ujanja ujanja ya huyu jamaa duu kweli ujanja si kusoma bwana
Swali; Je, JPM alikuwa na personal conflict na Lugumi au Lugumi alikuwa na makando kando?
Pia soma - Said Lugumi aita watoto 700+ nyumbani kwake kufanya ibada, kula, kunywa na kucheza pamoja kwa siku nzima
Tazama interview yake hapo chini πππ
when you enguage in political bussenes,Wakuu ama hakika nimeipenda interview ya Millard Ayo na Saidi Lugumi na anasema yeye hajawahi kumtapeli mtu, hajawahi kumfitini mtu, hawajahi kumdhulumu na anaamini pesa alizonazo sio za kwake na kingine eti jamaa ameishia darasa la saba nimeshangaa ujanja ujanja ya huyu jamaa duu kweli ujanja si kusoma bwana
Swali; Je, JPM alikuwa na personal conflict na Lugumi au Lugumi alikuwa na makando kando?
Pia soma - Said Lugumi aita watoto 700+ nyumbani kwake kufanya ibada, kula, kunywa na kucheza pamoja kwa siku nzima
Tazama interview yake hapo chini πππ
Angekua mkatoliki Pope Francis angewafundisha ndoa za jinsia moja na kuwaambia ni upendoAmealika watoto mia saba au waislam mia Saba?
Angekuwa mkatoliki angejenga shule lakin kwakuwa ni mwisilam anaishia kuwatoa kafara watoto wa waislam wenzie tu bas
Kumpa mtu mtaji hakumfanyi kuondokana na ugumu wa maisha.Nje ya mada kidogo.
Kwanini hao matajiri hawatoi misaada inayoweza kubadili maisha ya watu badala yake wanatoa misaada ya papo hapo na maisha yako yanabaki vile vile???
Yaani kwa mfano, kwanini Mara nyingi wanatoa misaada ya kula na kunywa, nguo n.k, kwanini hawatoi misaada ya mitaji au miradi??
Mkatoliki gani amejenga shule? Mbona una wivu na baba wa wenzio? Wakati lugumi anatafuta pesa baba yako si alikuwa anaona ujanja kuwaoa wanawake weupe huko kwenu kwimba? Acha makasiriko tafuta hela mtoto mdogo weweAmealika watoto mia saba au waislam mia Saba?
Angekuwa mkatoliki angejenga shule lakin kwakuwa ni mwisilam anaishia kuwatoa kafara watoto wa waislam wenzie tu bas
Mpaka mwisho wewe mnyaki? Au wivu unakusumbuaStart a Foundation or a Trust. Allow muslim orphans to get education or acquire certain sets of skills which would transform their lives.
Ubwabwa wa nazi, goes out when you take a dump, but education sticks with your generation even after you're gone.
Yeye si aliona ujanja kucheza dance DDc mlimani park wakati akina lugumi wanaiba hela ona sasa ulivyokuwa na hasira na baba wa wenzioMmepigwa makodi yenu .....kweli ujinga mzigo
Kwan sgr ni mali yake huyo jpm ..? Alitoa pesa zake mfukoni..? Plan aliikuta sawa msitishie watu fyoko fyokoNa ukipanda treni ya sgr unajiselfisha kabisa
Mitaji si atafirisika. Hivi unachukuliaje lakn.Nje ya mada kidogo.
Kwanini hao matajiri hawatoi misaada inayoweza kubadili maisha ya watu badala yake wanatoa misaada ya papo hapo na maisha yako yanabaki vile vile???
Yaani kwa mfano, kwanini Mara nyingi wanatoa misaada ya kula na kunywa, nguo n.k, kwanini hawatoi misaada ya mitaji au miradi??
Wewe ukiwa mmoja wapo ambao unatawaliwa na CCM mpaka leo huku baba yako akilewa mbege kila uchwaoJiwe akipambana na wezi wa mali ya uma unaita personal conflict!!??
Tz kuna majinga mengi sana
Hivi wewe shoger bado upo?Angekua mkatoliki Pope Francis angewafundisha ndoa za jinsia moja na kuwaambia ni upendoView attachment 3160576
Nashukuru Leo nimepata Fursa kumfahamu. The way alivyo hata ningemkuta kaketi mahala nisingemfahamu. π€£Wakuu ama hakika nimeipenda interview ya Millard Ayo na Saidi Lugumi na anasema yeye hajawahi kumtapeli mtu, hajawahi kumfitini mtu, hawajahi kumdhulumu na anaamini pesa alizonazo sio za kwake na kingine eti jamaa ameishia darasa la saba nimeshangaa ujanja ujanja ya huyu jamaa duu kweli ujanja si kusoma bwana