Nimependa majibu ya Lugumi, kumbe jamaa ni darasa la saba tu. Je, Hayati Magufuli alikuwa na personal conflict naye?

Atoe mitaji nyie bank hamzioni au hamzijui?
Nje ya mada kidogo.

Kwanini hao matajiri hawatoi misaada inayoweza kubadili maisha ya watu badala yake wanatoa misaada ya papo hapo na maisha yako yanabaki vile vile???

Yaani kwa mfano, kwanini Mara nyingi wanatoa misaada ya kula na kunywa, nguo n.k, kwanini hawatoi misaada ya mitaji au miradi??
 
Sasa hao madogo wenye chini ya miaka 10 mitaji yakupeleka wapi
Start a Foundation or a Trust. Allow muslim orphans to get education or acquire certain sets of skills which would transform their lives.

Ubwabwa wa nazi, goes out when you take a dump, but education sticks with your generation even after you're gone.​
 
Nje ya mada kidogo.

Kwanini hao matajiri hawatoi misaada inayoweza kubadili maisha ya watu badala yake wanatoa misaada ya papo hapo na maisha yako yanabaki vile vile???

Yaani kwa mfano, kwanini Mara nyingi wanatoa misaada ya kula na kunywa, nguo n.k, kwanini hawatoi misaada ya mitaji au miradi??
We umetoa msaada wa mtaji mkubwa kwa nani? Au na wewe pia bado unahitaji msaada ?
 
Nje ya mada kidogo.

Kwanini hao matajiri hawatoi misaada inayoweza kubadili maisha ya watu badala yake wanatoa misaada ya papo hapo na maisha yako yanabaki vile vile???

Yaani kwa mfano, kwanini Mara nyingi wanatoa misaada ya kula na kunywa, nguo n.k, kwanini hawatoi misaada ya mitaji au miradi??
Ni jambo linalowezekana, ni kama wewe ulivyoweza kumsaidia fulani siku moja ila si kila siku, sherehe hufanyika siku moja ila huwezi fanya sherehe kila siku.
 
Wakuu ama hakika nimeipenda interview ya Millard Ayo na Saidi Lugumi na anasema yeye hajawahi kumtapeli mtu, hajawahi kumfitini mtu, hawajahi kumdhulumu na anaamini pesa alizonazo sio za kwake na kingine eti jamaa ameishia darasa la saba nimeshangaa ujanja ujanja ya huyu jamaa duu kweli ujanja si kusoma bwana

Swali; Je, JPM alikuwa na personal conflict na Lugumi au Lugumi alikuwa na makando kando?

Pia soma - Said Lugumi aita watoto 700+ nyumbani kwake kufanya ibada, kula, kunywa na kucheza pamoja kwa siku nzima

Tazama interview yake hapo chini 👇👇👇

Jiwe squeezed Lugumi to send a message to his masters who used him as a front-man and a pawn to camouflage their nasty shady deals, particularly security tenders.​
 
Wakuu ama hakika nimeipenda interview ya Millard Ayo na Saidi Lugumi na anasema yeye hajawahi kumtapeli mtu, hajawahi kumfitini mtu, hawajahi kumdhulumu na anaamini pesa alizonazo sio za kwake na kingine eti jamaa ameishia darasa la saba nimeshangaa ujanja ujanja ya huyu jamaa duu kweli ujanja si kusoma bwana

Swali; Je, JPM alikuwa na personal conflict na Lugumi au Lugumi alikuwa na makando kando?

Pia soma - Said Lugumi aita watoto 700+ nyumbani kwake kufanya ibada, kula, kunywa na kucheza pamoja kwa siku nzima

Tazama interview yake hapo chini 👇👇👇

when you enguage in political bussenes,
you must regards two major constants, i.e are, interests and betrayal.

where do you think Lugumi and hayati Magufuli were differs each other?🐒

R.I.P President JPM
 
Amealika watoto mia saba au waislam mia Saba?

Angekuwa mkatoliki angejenga shule lakin kwakuwa ni mwisilam anaishia kuwatoa kafara watoto wa waislam wenzie tu bas
Angekua mkatoliki Pope Francis angewafundisha ndoa za jinsia moja na kuwaambia ni upendo
20241106_210717.jpg
 
Nje ya mada kidogo.

Kwanini hao matajiri hawatoi misaada inayoweza kubadili maisha ya watu badala yake wanatoa misaada ya papo hapo na maisha yako yanabaki vile vile???

Yaani kwa mfano, kwanini Mara nyingi wanatoa misaada ya kula na kunywa, nguo n.k, kwanini hawatoi misaada ya mitaji au miradi??
Kumpa mtu mtaji hakumfanyi kuondokana na ugumu wa maisha.

Kinachomsaidia mtu kupambana na umasikin ni akili yake.

Mtaji wa uhakika si pesa
 
Amealika watoto mia saba au waislam mia Saba?

Angekuwa mkatoliki angejenga shule lakin kwakuwa ni mwisilam anaishia kuwatoa kafara watoto wa waislam wenzie tu bas
Mkatoliki gani amejenga shule? Mbona una wivu na baba wa wenzio? Wakati lugumi anatafuta pesa baba yako si alikuwa anaona ujanja kuwaoa wanawake weupe huko kwenu kwimba? Acha makasiriko tafuta hela mtoto mdogo wewe
 
Umetazama video
Start a Foundation or a Trust. Allow muslim orphans to get education or acquire certain sets of skills which would transform their lives.

Ubwabwa wa nazi, goes out when you take a dump, but education sticks with your generation even after you're gone.​
Mpaka mwisho wewe mnyaki? Au wivu unakusumbua
 
Nje ya mada kidogo.

Kwanini hao matajiri hawatoi misaada inayoweza kubadili maisha ya watu badala yake wanatoa misaada ya papo hapo na maisha yako yanabaki vile vile???

Yaani kwa mfano, kwanini Mara nyingi wanatoa misaada ya kula na kunywa, nguo n.k, kwanini hawatoi misaada ya mitaji au miradi??
Mitaji si atafirisika. Hivi unachukuliaje lakn.
 
Wakuu ama hakika nimeipenda interview ya Millard Ayo na Saidi Lugumi na anasema yeye hajawahi kumtapeli mtu, hajawahi kumfitini mtu, hawajahi kumdhulumu na anaamini pesa alizonazo sio za kwake na kingine eti jamaa ameishia darasa la saba nimeshangaa ujanja ujanja ya huyu jamaa duu kweli ujanja si kusoma bwana

Swali; Je, JPM alikuwa na personal conflict na Lugumi au Lugumi alikuwa na makando kando?

Pia soma - Said Lugumi aita watoto 700+ nyumbani kwake kufanya ibada, kula, kunywa na kucheza pamoja kwa siku nzima

Tazama interview yake hapo chini 👇👇👇

Nashukuru Leo nimepata Fursa kumfahamu. The way alivyo hata ningemkuta kaketi mahala nisingemfahamu. 🤣
 
Back
Top Bottom