Nimependa majibu ya Lugumi, kumbe jamaa ni darasa la saba tu. Je, Hayati Magufuli alikuwa na personal conflict naye?

matajiri wengi wa bongo hawatoi misaada yaani kama kujenga madarasa ya shule,zahanati,kuchimba kisima cha maji,kutengeneza barabara,au kujenga daraja hii ndio misaada...ila hawa wa kiroba cha unga au mchele,ndoo ya mafuta,maharage na pesa na kupiga picha hizi ni sadaka tu na ndio wengi wanafanya ila hakuna watoa misaada bongo...labda wazungu ndio wanatoaga misaada kisha viongozi wenu bila aibu eti wanaenda kuzindua.!
 
Said Ni Mjanja Mjanja
Jiwe Hajamfanyia Baya Ila Hawajui Lugumi Ana Makandokando Tele
Yale Ya Kufunga CCTV vituo Vyote Vya Police Tanzania
Hakufunga Hata Moja Na Akalipwa Cash Kabla Ya Kazi
Maadam Ni Mtanzania wala Roho hainiumi labda angekuwA mgeni ningechukia Mi naamini wAnaoponda wenzao nao shida huwA nafasi tu kila mwanadam kiasili ni mwizi (Labda Mitume wA Mungu kwani wao ni Special)ila waliobaki wote wezi tunatofautiana viwango vya wizi kinachobaki ni Wivu kwa wale wAliootea Tundu la mlija.
 
Tuanze na wewe umeufanyia nini mtaa wako?
 
We jamaa akili zako et personal conflict,tambua kuwa hii Dunia bila shule ni ngumu sana kutoboa ukawa tajiri Mkubwa.
Lugumi ni sawa na Gachagwa yule alikuwa Makamu wa Rais wa Kenya,Lugumi alikuwa anatumika kuibia Serikali kupitia kandarasi hewa zinaotolewa Serikalini.
 
wanatoa misaada ya kupumbaza ili waendelee kusujudiwa na kuombwaombwa kila iitwae leo.
 
Lugumi alikua na tender ya nguo nyingi za jeshi la jwtz na polisi.
Huyu bwana aliwahi lipua mpunga mwingi, na hapa ndipo akawa tofauti na serikali na viongozi wake. Hata sasa ni anakula tu matunda ya utapeli, ila hana tena maisha ya kupiga mabilioni.
 
Jiwe squeezed Lugumi to send a message to his masters who used him as a front-man and a pawn to camouflage their nasty shady deals, particularly security tenders.​
Jiwe alikua anataka kampuni yakrle ya vifaa vya military na yeye apitie kupigia mpunga humo alipoona hvy akaenda nunua silaha za kichina which is huwez fananisha na silaha anazotengeneza muisrael and mmarekani
 
Said Ni Mjanja Mjanja
Jiwe Hajamfanyia Baya Ila Hawajui Lugumi Ana Makandokando Tele
Yale Ya Kufunga CCTV vituo Vyote Vya Police Tanzania
Hakufunga Hata Moja Na Akalipwa Cash Kabla Ya Kazi
tatizo mnafanya lugumi chambo, je hao waliompa hela bila kufunga cctv hata moja na wakaidhinisha kazi imefanyika ni kina nani ? toka lini mtu anapewa hela zote bila kazi kufanyika kama sio kuna watu muhimu wa juu na wenyewe wamepita na mgao? akili za kuambiwa changanya na zako
 
Jiwe alikua anataka kampuni yakrle ya vifaa vya military na yeye apitie kupigia mpunga humo alipoona hvy akaenda nunua silaha za kichina which is huwez fananisha na silaha anazotengeneza muisrael and mmarekani
Naweza kubali, Lugumi hakuwa peke yake. Kuna kampuni jingine halikuguswa kabisa.

Swali langu ni hili tu. Lugumi alipata tenda kipindi cha JK, ambapo Mwema alikuwa ni IGP. Uhusiano wa Lugumi na Mwema ukoje ?​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…