Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Said Ni Mjanja MjanjaJiwe akipambana na wezi wa mali ya uma unaita personal conflict!!??
Tz kuna majinga mengi sana
Jiwe Hajamfanyia Baya Ila Hawajui Lugumi Ana Makandokando Tele
Yale Ya Kufunga CCTV vituo Vyote Vya Police Tanzania
Hakufunga Hata Moja Na Akalipwa Cash Kabla Ya Kazi