Msimamo wangu uko pale pale Molinga, Yikpe waende waendako! Na Morson hana nidhamu viongozi wamtafakari!......asitupande kichwani!Habari wadau
Nina majonzi ya kufungwa na watani.. japo nilijua kwamba watani wana timu nzuri kuliko yetu
Wachezaji wa yanga wamezingua sana leo hasa safu ya ulinzi..
Tukiacha yote nimependa amsha amsha za papaa molinga.. nashangaa why wanayanga hatumpendi
Spirit yake kali sana na leo ni mmojawapo waliocheza vizuri kwa upande wa yanga
Natamani molinga abakishwe msimu ujao atokee hata benchi
Hujaona spirit ya Feisal na Abdul ukaona ya Molinga
Unahisi chanzo cha kuchukiwa Molinga ni nini?Kwani hao wanachukiwa na uongozi na mashabiki
Tengeneza timu yako umsajili molinga wewe.Habari wadau