Wakuu, nimependekeza Dr Magu, ndiye awe supervisor wa Thesis yangu ya PhD...
Sasa nimekuja kuomba hapa mtazamo wenu kama nitaweza ku graduate au huyu mtaaluma ataweza kunitumbua nikashindwa ku graduate...
Napenda sana yeye ndiye awe supervisor wangu...