Nimependwa na jimama nifanyeje?na kuna tetesi kuwa mme wake alikufa kwa ugonjwa wa ukimwi

Nimependwa na jimama nifanyeje?na kuna tetesi kuwa mme wake alikufa kwa ugonjwa wa ukimwi

hisia zangu nmejtaid kueleza pale juu , na kuhusu kufanya naye mapenz nmekuwa nkmrusha rusha kwa kumdanganya kuwa week hii ya 8 na 9 n week za mitihani hvyo n vgumu kujhussha huko wakat nna test na assngnment nyng znankabili ,nashukuru yeye anakuwa mwelewa ktk swala la mitihan, tatizo bado sijatoa conclusion ya kuwa nayea ua laah
 
Wewe kijana utashindwa timiza ndoto zako,achana na huyo mama,block no yake haraka sana.FUMBA Macho tupilia mbali hivyo vijisenti vyo vocha
 
jaman wana jf naomben ushaur ,mpaka nmeamua kuandika na kufungua jamii forums mpya hii inatoakana na kufcha wanachuo wenzangu 2naosoma nao waslfahamu jamno hili kwan ile ya mwanzo ilkuwa inafahamika na wanachuo wenzangu. ningependa nipate ushaur mzur
 
achana nae huyo mama, utakufa bure.
 
Hapa chuon kwetu kuna mama anafanya kazi ktk ofisin fulani ,na nmekuwa classrep kwa muda toka nikiwa first year mpaka sasa second year,kinachonishangaza ni huyu mama anayefanya kazi kwenye hii ofisi ye kila akiniita anapenda tuongelee mambo ya mapenz kwa kunidodosa kama mimi nina mchumba au laah,kwa kuwa nilkiuwa namuheshimu nilishndwa kumwambia kwamba ninaye ,ila siku zilivozid kwenda siku moja natoka maeneo ya mwenge naelekea ghetto kwangu nlishangazwa sana mara baada ya kuonana naye,pale pale akaniuliza ninaenda wapi nami nikamjibu naelekea kwangu ,akaniomba kama naelekea ghetto kwangu si mbaya kama yeye akinipa lift,kwa kuwa nlkuwa nashida nilikubali.tulipoanza safari kwenda kwangu ktk ktk ya maongezi aliniambia kwamba ananipenda sana,nlishangaaa sana kusikia maneno kama hayo hsa ukizingatia ni mama mtu mzima ma watoto, jaman wana jf wenzangu hebu naombeni mnipe ushauri nimkubalie ombi lake? Pili kuna tetesi kuwa mme wake alikufa kwa ukimwi miaka mitatu iliyopita hichi nacho ndo kinaniogopesha sana! Nikikataa sijui chuo akiniona au tukionana itakuwaje? Nmefikiria sana nmeshndwa kupata jibu sahihi hivyo nawaomba wanajf wenzangu mnisaidie nifanye nini?

Acha kuishi kwa tetesi wewe,kula mzigo huoo
 
nashukuru jaman ,mawazo yenu nitayachukua na nitayafanyia kazi
lkn waswas wangu nnapofka chuo nifanyeje akiiniita?
 
Acha tamaa na ogopa majimama kama una akiri timamu utajua la kufanya la sivyo lamba upate vijidudu ndio utatia akili
 
Unaonekana hujawahi kufa wewe, halafu sijui masabuli babaako! hata adabu huna wewe, hilo limama likufunulie mautupu yake utavumilia weye? Kubali ufe labda baada ya hapo ndo utajua uzuri au ubaya wa jambo hilo.
 
Yaani unadanganywa na vocha za elfu mbili mbili, jee hiyo ndiyo thamani yako kweli?

Hebu jaribu kusema SIDANGANYIKI.
 
kijana ogopa mijimama kama ukoma, kimbia kijana wangu utauja kulia pale utakapokuja kushtuka umeukwaa na ndoto zako zimepotea. akikuletea msomee mithali 5:20 na 6:32-32 na wagalatia 5:19-21,yaani smooth killingi ya kumwepuka huyo mama ni kumletea mambo ya kilokole uwe unampiga maandiko mwenyewe atasepa.
 
Inaonekana unamtamani huyo mama kiaina coz umemwendekeza mpaka mkapata kuwa karibu kiasi hicho. Najua maisha ya bumu yalivyo tyt, Kama vp tangulieni angaza halafu kula zigo. Usiogope umri ogopa his zako. The end defines the means
 
Mwendapole? Mh ninamashaka maana wanasema mwenda pole ndio mla.... Nahisi umeshamaliza mchezo na baada ya kuumaliza ndipo ukasikia hizo fununu. Ila kama bado piga buku mtu wangu.
 
Nakushauri kula mzigo huo tena kama vipi tumia njia ya asili aka nyama nyama.
Maana hadi umekuja kuomba ushauri hapa inamaana huoni hatari yoyote
 
Hapa chuon kwetu kuna mama anafanya kazi ktk ofisin fulani ,na nmekuwa classrep kwa muda toka nikiwa first year mpaka sasa second year,kinachonishangaza ni huyu mama anayefanya kazi kwenye hii ofisi ye kila akiniita anapenda tuongelee mambo ya mapenz kwa kunidodosa kama mimi nina mchumba au laah,kwa kuwa nilkiuwa namuheshimu nilishndwa kumwambia kwamba ninaye ,ila siku zilivozid kwenda siku moja natoka maeneo ya mwenge naelekea ghetto kwangu nlishangazwa sana mara baada ya kuonana naye,pale pale akaniuliza ninaenda wapi nami nikamjibu naelekea kwangu ,akaniomba kama naelekea ghetto kwangu si mbaya kama yeye akinipa lift,kwa kuwa nlkuwa nashida nilikubali.tulipoanza safari kwenda kwangu ktk ktk ya maongezi aliniambia kwamba ananipenda sana,nlishangaaa sana kusikia maneno kama hayo hsa ukizingatia ni mama mtu mzima ma watoto, jaman wana jf wenzangu hebu naombeni mnipe ushauri nimkubalie ombi lake? Pili kuna tetesi kuwa mme wake alikufa kwa ukimwi miaka mitatu iliyopita hichi nacho ndo kinaniogopesha sana! Nikikataa sijui chuo akiniona au tukionana itakuwaje? Nmefikiria sana nmeshndwa kupata jibu sahihi hivyo nawaomba wanajf wenzangu mnisaidie nifanye nini?

Kwanza nilivyokuelewa una mpenzi wako,sasa huyo jimama wa nini? Au unafuata gari na pesa? Hukuwa na haja ya kuomba ushauri,we tulia na mpenzi wako na upige buku! Hapo unajiingiza mwenyewe kwenye matatizo alafu badaye cjui utamwomba nani ushauri.
 
Wewe mtu mzimz tena msomi wa Chuo Kikuu hatutegemei kama hujui wat next ukitembea na huyo mama....achana haye piga skul young boob isje ikala kwako banah
 
ninaye vila sikumweleza hii inatokana na uoga nilikuwa nao ,kwani nilikuwa namuheshimu kama mama yangu na kingine kuna wakat alkuwa akinipigia usiku uku akinitakia usiku mwema ,2kimaliza kuongea naye kwenye simu anapenda kuni2mia vocha ya elfu2
Yani buku mbili tu inakuacha njia panda?Kazi unayo.
 
Back
Top Bottom