Eleminator
JF-Expert Member
- Sep 29, 2022
- 597
- 975
We mchunguze mienendo yake kam inaelewekaHuyu dada ni mhumudu wa bar moja hivi maarufu maeneo ya kijichi anaonesha dalili zote za kunitaka, kiukweli anavutia sana njemba kibao zishaliwa sana pesa zao bila kupewa uchi.
Nishamsisitiza sana mimi sipo vizuri kiuchumi ila anadai haitaji pesa yangu yeye anataka penzi langu tu.
Wakuu, nimkaze au nimpotezee?
Kumbuka
Hata shetan alikuwa MALAIKA