Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Ukisikia kufa kwa nyani ndo huku. Huwa ananiita "Mume wangu", binafsi huwa nachukulia ni utani. Juzi kafunguka kuwa ananipenda. Hakika dunia imekwisha. Ana ujauzito wa miezi saba na ni mkubwa tu. Mumewe ni mtu wa watu hapa mtaani, hana makuu na mtu. Leo ndo siku niliyomuahidi kumtupia ukuni ila roho inasita.
Naombeni ushauri. Nifanyeje?
Mrejesho #60
Naombeni ushauri. Nifanyeje?
Mrejesho #60