Mamndenyi
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 43,242
- 60,939
Achana naye, mwambie umepata dharuraBado nina muda wa kufikiria. Huyu mama anakwenda kuchukua chumba lodge kwenye saa 10. Hadi kufikia saa 9 nitakuwa nshajua mbichi na mbivu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana naye, mwambie umepata dharuraBado nina muda wa kufikiria. Huyu mama anakwenda kuchukua chumba lodge kwenye saa 10. Hadi kufikia saa 9 nitakuwa nshajua mbichi na mbivu
Sidhani, ni mihemko yake tuMumewe ana shida gani kwani???
Uchungu wa ujauzito wa miezi saba mkuu!!??Achana na wake za watu pumbavu wewe unakuja kuomba ushauri ukamle mke wa mtu,na ingependeza ukienda naye huko lodge apate uchungu ili ukome.
Kazii kweli kweli!! Au ndio Mimba imempenda yeye make ujauzito nao una visa na visanga kweli kweli!Sidhani, ni mihemko yake tu
Akiweza kumjibu hivyo na akatimiza, peponi moja kwa mojaMwambie unajiheshimu, mashine yako ni kwa ajili ya kutengeneza familia njema na sio kifaa cha kutimiza ajenda za shetani akukome atulie na wake
Aseee! Labda kumjibu hivyo kimoyomoyo, ila mbele ya macho yake...Akiweza kumjibu hivyo na akatimiza, peponi moja kwa moja
Huendi mbinguniAseee! Labda kumjibu hivyo kimoyomoyo, ila mbele ya macho yake...
Dah[emoji23][emoji23]
Ipo hiyo kuna wanawake wanajifungua mimba ikiwa na miezi 7,halafu kuna mimba zingine zinatafutaga sababu ya kutoka kwahiyo kuwa makini.Uchungu wa ujauzito wa miezi saba mkuu!!??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwamba zinatafuta sababuIpo hiyo kuna wanawake wanajifungua mimba ikiwa na miezi 7,halafu kuna mimba zingine zinatafutaga sababu ya kutoka kwahiyo kuwa makini.
Ahsante kwa kunifanya niangalie Avatar yakeFanya kama kwenye avatar yako
Labda apate kuungwa mkonoYaelekea umesha amua utakachofanya.
sijui unaomba ushari wa nini tena mkuu.
Kumbe ulimtongoza kabisa.Ukisikia kufa kwa nyani ndo huku. Huwa ananiita "Mume wangu", binafsi huwa nachukulia ni utani. Juzi kafunguka kuwa ananipenda. Hakika dunia imekwisha. Ana ujauzito wa miezi saba na ni mkubwa tu. Mumewe ni mtu wa watu hapa mtaani, hana makuu na mtu. Leo ndo siku niliyomuahidi kumtupia ukuni ila roho inasita.
Naombeni ushauri. Nifanyeje?
Watu wanataka kutupia ukuniv😊😊Mumewe ana shida gani kwani???
Acha uongoUkisikia kufa kwa nyani ndo huku. Huwa ananiita "Mume wangu", binafsi huwa nachukulia ni utani. Juzi kafunguka kuwa ananipenda. Hakika dunia imekwisha. Ana ujauzito wa miezi saba na ni mkubwa tu. Mumewe ni mtu wa watu hapa mtaani, hana makuu na mtu. Leo ndo siku niliyomuahidi kumtupia ukuni ila roho inasita.
Naombeni ushauri. Nifanyeje?